Somalia kuna Wabantu ambao walifika huko wengi kwa Utumwa, maisha yao yalikuwa magumu kuanzia mwanzo Wasomali hawakuwahi kuwakubali na wamekataliwa kata kata na Msomali yoyote aliyejaribu...
2021 6 September
https://m.youtube.com/watch?v=KDnKXrJ_YxI
Collin Barry ZAF Commander | Docuntary About Zambia's White Air Force Commander Lt Gen Colin Barry! Zambia Air Force Commander Collin...
We have Muzungus here getting us ready to convice people that we Can become Europeans if we agere with Portugal that Zanzibar was just stolen by force with the hungry Omanis, Wana ushahidi wa...
KUMBUKUMBU ZANGU: MTAA WA KIPATA (SASA MTAA WA KLEIST SYKES)
Nimefika Mtaa wa Kipata leo majira ya asubuhi.
Siku zote nifikapo Gerezani na kupita mitaa yake kumbukumbu nyingi za utotoni hunijia...
Mohamed Said ni mwanaharakati na mwandishi wa habari. Habari zake nyingi ni kumponda Nyerere namna alivyowatelekeza wazee waislamu wa kariakoo baada ya Uhuru akidai kuwa hao wazee ndio waliodai...
MATATIZO KATIKA USAHIHI WA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Mwananyamala nje ya nyumba ya Mzee Mwinjuma Mwinyikambi kumewekwa kibao kinachosema kuwa TANU iliasisiwa ndani ya nyumba hiyo tarehe 7...
UTANGULIZI
Nimeweka historia nne za kuasisiwa kwa chama cha TANU.
Kuna historia ya TANU inayoanza na Mwalimu Julius Nyerere akiunda TANU ndani ya Misheni ya Kanisa Katoliki Tosamaganga, Iringa...
https://youtu.be/t4HhcYoQmeI
Mtu anapozungumza asichokijua.
Anamtaja Abdul kuwa alikuwa mzee.
Anasema Abdul Sykes hakusoma.
Abdul Sykes alikuwa na miaka 28 Julius Nyerere miaka 30.
Nyerere...
HISTORIA MPYA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA
Hii makala niliiweka FB siku kama ya leo mwaka jana (2019) baada ya kuangalia video ya kiongozi mmoja wa kanisa akieleza historia ya TANU ambayo...
HATARI YA KIONGOZI KUZUNGUMZA ASIYOYAJUA: ''MZEE'' ABDUL SYKES NA ''KIJANA'' JULIUS NYERERE
https://youtu.be/t4HhcYoQmeI
''MZEE'' ABDUL SYKES NA ''KIJANA'' JULIUS NYERERE
Kiongozi anapozungumza...
Katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee Hall mwaka wa 1985 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alimtaja Abdul Sykes.
Mwalimu alipita njia tu hakumweleza Abdul Sykes alikuwa nani...
MANGI MKUU THOMAS MAREALLE MANGI MSWAHILI
Mara yangu ya kwanza kusoma historia ya Mangi Mkuu Thomas Marealle ilikuwa ndani ya Nyaraka za Sykes wakati natafiti kitabu cha maisha ya Abdul Sykes...
BETI TATU ZA JULIUS NYERERE KUOMBOLEZA KIFO CHA SHAABAN ROBERT 1962
Leo asubuhi katika pitapita yangu Maktaba nimekutana na kitabu cha Prof. George Mhina, ''Mwalimu Nyerere na Tanzania," (1980)...
TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA YUSUF SALUM MALETA 1960s
Yusuf Salum Maleta ni kaka yangu.
Mwaka ni 1963 nimekuja kutoka Moshi nilipokuwa nasoma na nimefikia nyumbani kwa mmoja wa baba zangu Mzee...
Hata hivyo, tarehe 14 Novemba, 1968, Baraza la EAMWS la Tanzania liliitisha mkutano wajumbe kutoa mikoa yote ya Tanzania kujadili ‘’mgogoro.’’
Pamoja na waliohudhuria ni wajumbe kutoka mikoa...
Kipindi cha Ali Hassan Mwinyi, Aga Khan alikuja nchini kwa mara ya kwanza baada ya kutokanyaga ardhi ya Tanzania kwa miaka 20. Kwa maneno ya Mohamed Said Aga Khan aliitisha mkutano wa Waislamu...
WARANGI – 2: KABILA LILILOJIVUNIA MNO ASILI YAO
Warangi ni warembo hasa.
Na Innocent Nganyagwa
NAWAKARIBISHENI tena kwenye safu yetu ya mambo ya Asili na Fasili, kama ilivyo ada yetu kila...
Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni
Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita
Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya...
BARAKA SHAMTE ANAPOPULIZA BARAGUMU LAKE
https://youtu.be/hiK5cjWtf_A
Kwa mara ya kwanza kumuona Baraka Shamte ilikuwa mwaka wa 1995 siku ya pili baada ya Zanzibar kupiga kura Maalim Seif Shariff...
Uislamu ni "Trojan-horse" wa ukoloni wa Kiarabu.
Mwanzilishi wa dini hiyo alikuwa Mwarabu.
Kitabu chao kitakatifu kiko katika lugha ya Kiarabu.
Lugha unayopaswa kujifunza na kutumia katika sala...