Moja kati ya mashujaa waliokwenda kupigana vita Uganda dhidi ya Idd Amin Dada alikuwa ni Meja Jenerali 'MUHIDDIN KIMARIO'(marehemu kwa sasa). Wakati Idd Amin anavamia eneo la Kagera na kuishusha...
Kumekuwa na shinikizo kubwa sana kwangu kutoka kwa ndugu na jamaa kuwa nijibu maneno ya Yericko Nyerere kuhusu historia ya African Association (AA).
Wengi waliomsikiliza Yericko katika kipindi...
MWANAHISTORIA FRANCIS DAUD ALIPOTEMBELEA NYUMBA YA ALI MSHAM MAGOMENI MAPIPA DAR ES SALAAM
Historia ya Ali Msham ni katika historia zinazosisimua za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika kwa...
Bustani za Mughal na Soko la Polo iliyoboreshwa.
Srinagar (Jammu na Kashmir)
SRINAGAR, Taji la thamani ya Kashmir,imekuwa ni nembo ya ishara ya ukaribisho kwa wajumbe kutoka nchi za G20 katika...
Mughal Gardens and revitalized Polo View Market
Srinagar (Jammu and Kashmir)
Srinagar, the crown jewel of Kashmir, welcomed delegates from G20 countries on a journey of cultural immersion and...
Asili: asili ya waluguru husemekana kuwa imetokana na watu kutoka maeneo ya chini(low land) kuhamia katika mlima kwasababu mbalimbali kwa mfano mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na njaa na pia...
Jana ilikuwa siku nzuri na ya furaha kubwa kwangu kwa kutembelewa nyumbani na rafiki yangu Guled Issa ambae kwa miaka mingi tukijuana kwa sauti na kuandikiana mtandaoni.
Jana kanifikia kwangu...
Mwalimu Nyerere hajapata kueleza historia yake vipi alifahamika na kuwa maarufu Dar es Salaam kiasi cha kuaminika kuchaguliwa kuwa Rais wa TAA.
Iweje historia muhimu kama hii haijulikani?
Kwa...
Tarehe na mwezi kama wa leo (21. May. 1996) Tukiwa kama familia, tulikuwa tukivuna mpunga katika majaruba yaliyopo maeneo ya airport mwanza.
Ghafla kupitia kijiradio kidogo cha mkononi (philips)...
Ukitazama vyema picha hii, utagundua kuna mtu mmoja tu mweusi (Muafrika). Huyo ndiye Nearest au “Master Distiller” kwa jina maarufu. Alizaliwa wakati wa utumwa mnamo huko nchini Marekani 1820...
BURIANI RASHID "INZI" TIMAMY MWANASOKA WA SIFA
Imekuwa kawaida yetu kuwa hatuna historia yetu yoyote iliyohifadhiwa rasmi.
Kama si kwa hii video ya marehemu Abdulkarim Shah maarufu kwa jina la...
Baraza la Mawaziri 1963
Julius K. Nyerere 41 years old,
President of Republic of Tanganyika
Rashidi Mfaume Kawawa, 34 yrs
Vice-President
Sheikh Amri Abedi Kaluta, 39 yrs
Minister of Justice...
NYUMBA YA OMARI SELEMANI KAGOBE NA MNARA WA NYERERE KIGOMA UJIJI
Mbele ya nyumba ya marehemu Omari Selemani Kagobe umejengwa mnara unaojulikana kama Mnara wa Nyerere.
Mnara huu ni kumbukumbu...
Wazungu Walivyo washenzi walitudanganya kupitia dini zao kuwa ili kuepuka Laana za ukoo Kutoka kwa Babu au bibi zetu, tusiwaite watoto wetu majina yao kama SHIRIMA, MARWA...
Nimeandika mengi hapa kuhusu Abbas Sykes.
Mengi sana.
Atakae kumjua Abbas Sykes atafute tu hapa na kwengineko ataisoma historia yote ya kupigania uhuru wa Tanganyika kwa undani wake.
''Hesabu...
Wachaga ni kabila lenye asili ya Kibantu na mchanganyiko wa asili ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania, Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro.
Kabila la Wachaga linatajwa kuwa la tatu kwa ukubwa...
Habari za wakati Great Thinkers wa JF...
Mheshimiwa Maxence Melo,
Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, New Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya...
Habari zenu wanajamii?!
Wataalamu na walimu wa historia duniani kote wanaeleza fani ya historia inamsaidia binadamu kujua alipotoka, alipo na anapoelekea. Nikitafakari hili, nawaza historia ya...
Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni...
NYARAKA ZA LAWI NANGWANDA SIJAONA (1928 - 2005)
Katika utafiti wangu wa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika nimebahatika kuona nyaraka kadhaa za wazalendo wenyewe na waasisi wa vuguvugu la...