Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Akituelekeza namna ya kufika nyumbani kwake Kigamboni leo asubuhi Bi. Mwajame bint Dossa Aziz akamaliza kwa kusema, "Ukifika hapo utaona kibao kimeandikwa "Mwajame Street." Mpwa wangu Yusuf...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokea tarehe 26 Aprili 1964 ukawa mwanzo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hadi tarehe ile kulikuwa na mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na...
7 Reactions
117 Replies
15K Views
Chato ya kwanza ni kitabu kipya kinachoeleza historia ya kijiji cha Chato Tanzania. Chato ya pili ni jina la movie iliyochezwa mwaka wa 1972 muigizaji akiwa Charles Bronson. Kitabu cha Chato...
3 Reactions
12 Replies
993 Views
Moja kwa Moja kwenye hoja yangu, Ujerumani ni Moja ya nchi iliyowahi kuwa na makoloni mengi sehemu mbalimbali duniani kama zilivo nchi nyingine mfano Uingereza, Ufaransa ni kwanini nchi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Its TBT day lets motivate... Naam! Alikuwa ni mtu mweusi, alikuwa akifahamika kwa jina la Madam CJ Walker (1867-1919) alikuwa ni milionea wa kwanza wa kike kule US. She was a self-made milionea...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Jina lake ni Mtwa Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga, mtoto wa Chifu Munyigumba. Ukitaka kumzungumzia wala usizunguke sana, sema tu Chifu Mkwawa inatosha. Kwa nini aliitwa Mkwawa? Hilo linatokana...
23 Reactions
43 Replies
11K Views
Kidada Jones na Tupac walikua na mahusiano ya kimapenzi yaliyodumu kwa muda mfupi tu mwaka 1996. Walikutana mwaka 1995, kwenye Club moja huko mjini Los Angeles na wakaanzisha uhusiano wa kimapenzi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Alizaliwa nchini Jamaica na alisomea nchini Canada, alipata shahada ya kwanza katika biochemistry. Kwa kuwa anatoka katika familia ya Kikristu, maisha yake ya awali aliishi kama Mkristu. Wakati...
3 Reactions
6 Replies
5K Views
SALUM ABDALLAH NA CUBAN MARIMBA CHACHA BAND "MKONO WA IDDI" Katika utoto wetu tukiisikia nyimbo hii ya Salum Abdallah inapigwa TBC tunajua Iddi imeingia. Watoto wa kike wako uani wanapakwa hina...
7 Reactions
10 Replies
3K Views
"Ndugu Rais ninazo habari mbaya. Kumekuwa na Mapinduzi nchini Ghana." "Unasema nini? Nkrumah aliuliza. " Mapinduzi nchini Ghana. " akarudia balozi wa kichina. Nkrumah alikuwa Peking .Hiyo...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
PART 1: [emoji100]Sio tu Marekani yote, we ukipata muda nenda kawaulize hata FBI kuwa huyu John Herbert Dillinger aliwafanya nini!!?, wasipokujibu nenda Kapitie Mafaili yao, Utapata majibu huko...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
MNA NINI NDANI YA KITABU CHA SHEIKH PONDA? Ili kitabu kiwe kitabu lazima kiwe na elimu mpya yaani ile ambayo jamii haijui. Hii elimu mpya ndiyo roho, moyo na maisha ya kitabu kwani kitabu kina...
5 Reactions
86 Replies
5K Views
Mwanzo nilidhani mzaha Prof. Kabudi ambaye alikuwa mwalimu wa chuo kikuu Dar essalaam alipoteuliwa na Magufuli kuwa Waziri alisema anamshukuru rais kwa kumtoa ktk jalala. Wenye Akili tulistuka kwa...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Hivi serikali ya Tanzania wamefanya juhudi gani kuishinikiza ujerumali warudishe mafuvu ya viongozi wetu? Hadi leo nahisi Mangi Meli bado roho haijapumzika kwa amani serikali yetu haijafanya...
0 Reactions
3 Replies
615 Views
Mzee Selemani John Okello, hapa nakumbuka walitoka watu, wametoka watu hapa wakenda Pemba. Kwa hali ya kiuchunguzi. Je, Pemba tunaweza kuwapata wenzetu tukaja kusaidiana hapa? Wakatupa motisha...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Maamuzi ya Zanzibar Mwaka 1991 Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ilikutana mjini Zanzibar na kufanya mabadiliko ya Azimio hilo. Akizungumza na wazee wa chama, viongozi wa Taifa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu zangu ningependa sana kujua kwa nini nchi yetu haikuweka record za kumbukumbu ya watu muhimu ktk Historia ya nchi yetu. Watu ambao leo hii wangeitwa mashujaa wa kweli. Watu ambao sisi...
2 Reactions
341 Replies
52K Views
(The Most Intelligent Criminal In History?) UZI [emoji897][emoji897][emoji897][emoji116] [emoji100]Anaitwa Liu Zhaohua, mshindi wa 2 katika mashindano ya somo la chemistry akiwa shule...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkuu wa kikosi cha Polisi cha Usalama wa barabarani ACP Ramadhani Ngazi asema kuna changamoto za kiusalama. Ni kwenye baadhi ya mikoa kutokana na ujambazi n.k Akitaja maeneo ya Rukwa, Katavi...
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Huu Uzi Una kilomita nyingi lakini ni Mgodi unaotembea,kazi kwako ukutane nao au upishane nao! Dola ya Uthmaniya ndio Dola kubwa kabisa na iliyodumu Kwa Mda mrefu zaidi Kati ya Dola zilizo...
6 Reactions
15 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…