Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

NYUMBA ALIYOJENGA NA ALIYOISHI MWALIMU MTAA WA IFUNDA MAGOMENI 1958 Tulipomaliza mahojinao yetu nje ya nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma nyumba ambayo iko nyuma ya Ofisi Ndogo ya CCM tukaelekea...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Uchaguzi wa TAA Arnautoglo Hall 1953
1 Reactions
0 Replies
694 Views
Nimekaa toka asubuhi na mapema nafikiria vipi tutamkumbuka Mwalimu Nyerere katika karne moja lakini pamoja na yeye tuwakumbuke wenzake ambao baadhi yao hawajulikani kabisa. Nikaingia shambani...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
NYERERE DAY 2022: EDOUARD MASSENGO ALIPOKUTANA NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE Jioni hii rafiki yangu moja kutoka Ulaya kanipitia kunijua hali na kaniletea CD ya muziki wa Edouard Masengo na Mwenda...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Jina la Mwalimu Julius Nyerere linasomeka kwenye mitaa, barabara, majengo, vituo, shule, vyuo na vitu vilivyopewa jina lake; Daraja la Nyerere Kigamboni,Julius Nyerere University of Kankan, in...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nasikia hii ilivunjika mwaka 1977. Nimekuwa nikisikia hadithi nyingi kuwa watu waligawana mali kama washenzi(barbarians). Hili limewapa baadhi ya watu vinyongo hadi leo kuwa walidhulumiwa, naomba...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
NYERERE DAY: MWALIMU NYERERE NA DOSSA AZIZ WALIPOKUBALIANA KUJENGA CHUO KIKUU WAKIWA WAMEEGESHA GARI MLIMANI Viongozi wa TANU walikuwa na kawaida wakimaliza mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyerere Day STBONGO TV STARTIMES NYERERE DAY 2022 KEVIN LAMECK NA MOHAMED SAID Kipindi kitarushwa saa tatu kamili asubuhi leo na marudio ni saa nne kamili usiku.
0 Reactions
0 Replies
697 Views
0 Reactions
0 Replies
384 Views
YANGA NA SIMBA UNAZI WA ZAMANI: KISA CHA MZEE MANGARA TABU NA AYUBU KIGURU Nina rafiki yangu anaitwa Kazua leo asubuhi kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru. Wakati wa ujana wake...
9 Reactions
39 Replies
5K Views
BONGO TV NA NYERERE DAY Kevin Lameck wa Bongo TV leo asubuhi alinitembelea nyumbani kwa nia ya kufanya kipindi cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya Nyerere Day kesho...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
HEMED SEIF: ''INSIDE 10'' NYOTA WA GOSSAGE NA CHALLENGE CUP Hayo maneno hapo chini nimeyatoa katika taazia niliyomwandikia Hemed Seif alipofariki dunia mwaka wa 2014. Hizo picha nimeziweka...
3 Reactions
5 Replies
814 Views
KATIKA KUTENGENEZA KIPINDI CHA SIKU YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Sijapata kufanya kipindi kama hiki. Jua lilikuwa kali sana asubuhi ya saa tatu. Gari la Azam TV lina ''full...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwaka 2001, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Fujian Xi Jinping alimwandikia baba yake barua ya pongezi ya siku ya kuzaliwa, akisema anatumai kujifunza sifa bora kutoka kwa baba yake. Bw. Xi Zhongxun...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Miaka 42 iliyopita, Bw. Xi Jinping ambaye alikuwa anasoma katika chuo kikuu cha Qinghua alikwenda pamoja na baba yake kufanya ziara ya ukaguzi mkoani Guangdong, wakati akiwa kwenye mapumziko ya...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…