''Yupo lakini huisikii sauti yake.
Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake.
Lakini yupo ila wewe humuoni.
Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza.
Huisikii sauti yake.
Utamfahamu na kumtambua...
Huyu alikuwa kijana mdogo aliye zaliwa mnamo mwaka c. 1887 huko Congo (DRC ya leo)sehemu inaitwa Bondela wakati huo palijulikana Kama Congo Free state na kufariki 15 August 1909 huko...
Naomba kuelimishwa ili nipate kuelewa vizuri historia.
Najua wakoloni walimpokonya uchifu mangi Kileo lakini juzikati mangi Kileo ( mtoto ) ametawazwa na kurejeshwa madarakani.
Ndio nauliza...
YALIYOPITIKA KIPATA NYUMBA NO. 69 WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Ndugu zangu WanaGerezani
Siku ya Gerezani Day nilikuelezeni kwa muhtasari kuhusu makaratasi yaliyokuwa yakichapwa pale...
ᏙᏆͲᎪ ᏙᎽᎪ ͲᎪΝᏀᎪ - ᏙᏆͲᎪ ᏙᎽᎪ ΝᎽႮᏦᏆ
3–5 ⁿᵒᵛᵉᵐᵇᵉʳ 1914
BATTLE OF TANGA
Au Mapigano ya Tanga, ambayo wakati mwingine pia hujulikana kama Mapiganoya Nyuki yalikuwa ni shambulio lisilofanikiwa la Jeshi...
MAZUNGUMZO MAFUPI NA WANAGEREZANI - GEREZANI DAY
Leo nimezungumza katika Gerezani Day. Hadhira yangu ndani kuna wajukuu wa wapigania uhuru.
Nilizungumza kisa ambacho kiliwachukua sana...
TAPA: Ilianzishwa 1955,ingawa vuguvugu la kuanzishwa kwa TAPA kulitokana na TANU.
Vilianzishwa vikundi vya muungano wa wazazi toka kanda ili kusimamia elimu katika shule za wazazi.
1. Mkoa wa Dar...
Mfano wa nyumba hizi zilizojengwa na Wajerumani ziko Amani, Tanga. Hiki kijumba kidogo ni jiko, kwa wakati ule wengi walipikia kuni. Hili jiko lilikua na sehemu ya kuhifadhi meter moja ya kuni...
Rafael Caro Quintero 2
Enrique Camarena Salazar"Kiki" alikuwa askari kwenye kitengo cha kuzuia mihadarati "Drug Enforcement Agent" kwenye upelelezi wake akafanikiwa kufahamu mahala shamba hilo...
GEREZANI DAY 2022: GEREZANI IMEBADILI MAJINA YA MITAA KUWAENZI WAZEE WAO WALIOPIGANIA UHURU TANGANYIKA
Leo WanaGerezani wameadhimisha siku yao ya familia kwa kuwarehemu masheikh, wazee wao na...
"Nlikuta bunduki na bastola yake haina risasi hata moja na alikua hajajiandaa kwa mapambano yoyote licha ya kusikia kishindo cha helikopta nje"
Kauli hiyo anasema Mwanajeshi wa Seal 6 team Mark...
BURIANI SHEIKH ABDALLAH MUHSIN BARWANI
Leo jioni nimepokea taarifa ya kifo cha Shekh Abdallah Muhsin Barwani aliyekuwa akiishi Dubai.
Sheikh Abdallah Muhsin ni mdogo wake Sheikh Ali Muhsin...
MARA YA MWISHO MZEE WAIKELA ALIPONITEMBELEA 2018
''Kauliza mwenye kuuliza, ''Inaelekea unampenda sana Mzee Waikela.''
''Hakika nampenda. Vipi nisimpende Bilal Rehani Waikela ilhali alipendwa na...
Vita vya majimaji ni vita vilivyopiganwa na wazee wa kiislam kupinga utawala wa kimabavu wa kijerumani, lakini kwa makusudi vita hivi historia yake imechafuliwa kwa makusudi kuonesha kuwa vilikuwa...
Kipindi hiki watu walihama kufuata kazi, miji ilifanyika na biashara zilishamiri. Ni katika kipinndi hiki walianza ustaarabu wa kusukuma maji na yalifika majumbani.
Maji tiririka yalipunguza...
KATIKA KUTENGENEZA KIPINDI CHA MAISHA YA BILAL REHANI WAIKELA
Mtangazaji wa IBN AFRICA TV Hemed Lubumba akinihoji kuhusu maisha ya Bilal Rehani Waikela.
Kipindi In Shaa Allah kitawekwa hapa...
Alipambana kwa kila namna ili mfumo wa vyama vingi uwepo nchini
👇
--
Ukikutana naye mitaa ya Mwananyamala wilayani Kinondoni au pembezoni mwa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi hutajihangaisha...