Picha hii kwangu inanikumbusha miaka yangu ya mwanzo udogoni naanza kujitambua na kuingia kwenye duka la vitabu kununua vitabu.
Nimenunua vitabu vingi duka hili kuanzia mwaka wa 1963 nikiwa na...
Wakuu leo tuangalie story za Waafrika. Kuna baadhi ya pan africanist (wakombozi wa Afrika) wanasema africa ilikua na nguvu kubwa sana katika mambo mengi, hasa katika kivita na kiimani, zamani hata...
Danieli 11:20 Ndipo badala yake atasimama mmoja, atakayepitisha mwenye kutoza ushuru kati ya utukufu wa ufalme wake; lakini katika muda wa siku chache ataangamizwa, si kwa hasira, wala si katika...
SAFARI YA UHURU WA TANGANYIKA
Video hii imenivutia kwa kule kuieleza historia ya TANU na kutoka vyanzo vilivyoko nje ya historia rasmi na kutumia picha alizoacha Ali Msham na nyingine kutoka...
Katika historia za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika lakini wamesahaulika historia ya Ali Msham ina sehemu ya pekee moyoni kwangu.
Tafadhali isikilize historia yake:
KALAMU YA ALHAJ ABDALLAH TAMBAZA
''Lakini Abdallah Laatasi, ambaye ni mjukuu wa Diwani Omar Laatasi, anakumbukwa zaidi katika mchango wake katika kufanikisha kupatikana uhuru wa nchi hii; kwani...
HAPO ZAMANI ZA KALE: HISTORIA YA MWALIMU THOMAS SAUDTZ PLANTAN NA CLEMENT MOHAMED MTAMILA
Ulikuwa ukiingia nyumbani kwa Mwalimu Thomas Plantan Mtaa wa Masasi kitu kimoja ambacho kitakushangaza ni...
KIKAO CHA KUUNDA TANU NYUMBANI KWA HAMZA KIBWANA MWAPACHU NANSIO, UKEREWE 1953
Ilikuwa miezi ya mwanzo ya mwaka wa 1953 kabla ya kufika April, 1953.
Abdul Sykes Act. President na Secretary wa...
IKIWA HUJAPATAPO KUZIONA TARIFA ZA KIKACHERO ZA SPECIAL BRANCH 1950s
"Tanganyika Political Intelligence Summary, March 1952":
"...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul...
MTAA WA MKWEPU NI MTAA KWA HESHIMA YA RASHID ''SISSO'' MOHAMED MKWEPU
Mtoto wa Rashid Sisso kaniandikia leo akaniuliza swali, ''Unajua asili ya Mkwepu Street kule Posta?''
Nikamjibu sijui...
Hii ishu ya watu wa Dodoma kuwa ombaomba ni ya kihistoria. Ilianza zamani enzi za misafara ya biashara kutoka Bagamoyo hadi Ujiji. H. M. Stanley ameliandika vema hili katika kitabu chache How i...
NUREMBERG TRIALS
Hii ilikuwa mahakama iliyokuwa Ujerumani baada ya Vita Kuu ya Pili (1939 - 1945) washirika wa vita vile dhidi ya Manazi wa Kijerumani waliiweka makhsusi kwa kuwahukumu wale wote...
RASHID SISSO MHAMASISHAJI ''EXTRA ORDINAIRE''
Mmoja kati ya wazalendo vijana walioanzisha Bantu Group alikuwa Rashid Sisso.
Wakati wa harakati za kudai uhuru alikuja kuwa karibu sana na Nyerere...
New Left Review 133 / 134 Jan Apr 2022
Issa Shivji, Saida Yahya-Othman and Ng’wanza Kamata,
Development as Rebellion: A Biography of Julius Nyerere
Mkuki na Nyota: Dar es Salaam 2020, £90...
EID EL FITR: ''BLUE HAWAII'' ELVIS PRESLEY EMPIRE CINEMA 1964
Kuna ndugu yangu hapa kaangalia video ya watoto wa mtaani kwangu Magomeni Mapipa leo asubuhi baada ya sala wamekuja kunipa mkono wa...
DICTIONARY OF AFRICAN BIOGRAPHY (DAB)
Siku moja mwaka wa 2008 nilipokea email kutoka kwa Prof. Emmanuel Akyeampong kutoka Harvard akaniomba niwe mmoja wa waandishi karibu 500 kutoka kila pembe ya...
Joseph-Désiré Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Zabanga
Na Martin Maranja Masese
Joseph-Désiré Mobutu aliyejiita baadaye Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Zabanga alizaliwa mnamo 14 Oktoba 1930...
TAAZIA FUPI KWENYE MAZIKO YA MZEE KITWANA SELEMANI KONDO 2017
Naeleza siku aliyonipa jina la "mole," (kachero, jasusi)wa Waingereza aliyekuwa ndani ya uongozi wa juu wa TANU 1954.
Naeleza...