Hivi watanzania wanafikiria nini kujifunza maudhui ya Kiswahili kwa kutumia Kiingereza? Ni kama Mchina kuamua kijifunza maudhui ya Kichina kwa kutumia Kiswahili, sio uchizi huo? Au mwingireza...
Msaada jamani anayeelewa . Hili neno linatumika sana kwenye makampuni, mfano. Ubungo Plc, Crdb bank plc,Nmb plc. Anayejua atueleze kwani wapo wanaotoa tafsiri mbalimbali, kama vile Public...
Samahan kwa kupost hii hojq humu.. Naomba mawazo yenyu
Hivi neno SHILAWADU ambalo tumelitumia sana jamii forums na kibongobongo mitaani..Linafaa kuingia katika lugha ya kiswahili?
Kuna uwezekano...
Hivi kinachowafanya wasanii wa kibongo kuonesha upungufu wa lugha kama vile ilivyo katika upungufu wa kinga mwilini ni nini? Yaani mtu anachafua lugha kwa kuchanganya Kiingereza na Kiswahili...
Kifupishohuni KINAHARIBU BADALA YA KUBORESHA KISWAHILI
Kifupishohuni ni neno linalotokana na maneno= -fupisha na -huni. Wingi wa Kifupishohuni ni Vifupishohuni.
Sikuhizi kumekuwa na tabia ya...
Mimi nazungumza na kufunfisha lugha tajwa, kituo kipo Arusha ila ukihitaji kujifunza hata ukiwa mbali, inawezekana maana zipo attachment, na zitakusaidia kusoma online...
Tuwasiliane 0746 30 70 70
Am looking for a French translator, to translate some materials from
Swahili/English - french,
Kama ni wewe au unamjua mtu pls nipm contacts zake,
Mercy b-asante
Huyu ni mheshiwa jana kwenye taarifa ya habari alipotembelea taasisi ya upasuaji Muhimbili alirudia mara kwa mara neno operation(upasuaji) kwa kulitamka ndivyo sivyo kwa kusema oppression...
Iwe kwa tungo tata, nahau, hadithi, ushairi, tenzi, ngano ama lolote liwe katika mapana yake kwenye uwanda wa Lugha, basi lugha yetu iwe moja #freemaxencemello .
Salamu wana JF.
Hivi huwa tuko sahihi tunavyotumea neon Maliasili kumaanisha Natural Resource au tulipaswa kutumia maneno Rasilimali Asili?
Wataalamu wa Kiswahili tafadhal
Katika harakati zangu za kujiongezea ufahamu wa lugha ngeni niliamua kuanza kujifunza lugha ya Kiarabu kwa miezi kadhaa sasa.
Jambo ambalo limenishangaza ni kukutana na maneno mengi ya kiarabu...
Wanajamvi naomba mwenye kujua anijuze kwa kiingereza kile kitu ambacho huwa kinaning'inia mwishoni mwa mkungu wa ndizi, ni cha rangi ya damu ya mzee ,mara nyingi baada ya ndizi kuchanua chane zake...
Salaam wana JF
Tukiwa tumeingia mwezi wa mwisho kuhitimisha mwaka huu, ebu tukumbushane kauli, misemo na maneno yaliyojipatia umaarufu mkubwa kwa awamu hii kuanzia mwaka kipindi cha kampeni mwaka...
#daaaaaa #mnaikumbuka lkn #Hii
1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani...
1.Huba lako limeniteka, mateka najililia
hakika umenishika, sina pakukimbilia
huba wa mahaba, moyoni najivunia
vuno la mahaba, mwilini nalisikia.
2.Mpenzi wa enzi, nipe pasi kitenzi
mazuzu...
MWIZI WA KUKU.
1)Haki wala hina macho, na ndo mana haioni.
Haki imewa kificho, imeshia kitabuni.
Mwizi wa kuku afungwe, mchota hela aringe.
2)haki imewa zindiko, lifanyiwalo porini.
Haki kama...
Salaam
Nimesikiliza kipindi kilichokuwa kinarushwa na Clouds radio leo katika kuadhimisha siku ya ufahamu kuhusu ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi " albinism awareness day".
Pamoja na kujifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.