Huu ni uandishi gani jamani? Nimekutana na baadhi ya maneno mwandishi aliyatumia akijaribu kuelezea muswada wa sheria uliowasilishwa juzi bungeni. Nimesikitishwa jinsi tunavyoharibu lugha yetu...
BRAZA SOMA NYAKATI.
1)kubebana na mbeleko,zama zile zimepita.
Mbwa mkali si koko,huyu sasa anang'ata.
Atakuvunja ugoko,ukileta za kuleta.
Braza soma nyakati,zama hizi si mchezo.
2)Atakuchapa na...
FUNIKA FUNUA.
1)kimesikika kishindo,cha pupu cha mfa maji.
Mbeba jembe na nyundo,nae du mjuaji.
Sera imetupwa kando,anena su msusaji.
Haya funika funua,umeshakufa ukuta.
2)Jambo limeshindwa...
wale wazee wa kununua wajasilia mwili a.k.a machangudoa hili neno mchati ni neno famous sana kwao
machangudoa mtu anayewanunua wanamwita mchati
utasikia "niko na mchati wangu" "yule mchati...
Naomba msaada kuhusu hiyo topic kwa nini (Masheikh) wakisimama kudai haki wa waumini wa waislam anashitakiwa/kushutumiwa Kuwa ni Uchochezi? (NI HOJA YA KUJADILI WALA ISIFIKIRIWE VIBAYA.)
Ugaaagaa umesambaa katika mashamba ya wasambaa hadi wakashangaa.
Kaka kale kakuku keupe kako kwako kaka
Nini kikusikitishacho
Kafa manzese mazishi Sinza
Ongeza Nawe Ya kwako tuzidi kujifunza...
Wakati mwingine hili neno huwa Linanipa shida sana. Unakuta Mtu anakupigia simu au SMS Kuku salimia. Anauliza uko wapi hatuonani,ukimwambia nimesafiri tu kosaaaa." Unijie na zawadi" ndio...
Salaamu wandugu,
Sio kila siku kupondana tu ,siku nyengine kusifiana na kutiana moyo ni bora.Kwa leo ningependa tuwape pongezi kwa kuwataja majina wazee wa umombo uliokwenda shule.Mimi ninaanza na...
AFRIKA KUNA MATATA.
1)nawaambia wenyeji,wenyeji wa bara hili
Wenye nusu ya uchaji,tena waso wa bahali.
Walojawa ufujaji,wala wao hawajali.
Nimeuchoka uongo,Afrika kuna matata.
2)machafuko kila...
Nimekutana na Hili neno limeandikwa mahali nikashindwa Kuelewa maana yake naomba wajuzi wa lugha wanisadie "FIKRA ZILIZOCHOKA HUZAA MAWAZO YALIYOCHOKA"
Academician habari za Jioni hii, tafadhari kwa heshima naomba kuleta hoja yangu mezani kwenu nyie kama Wasomi na watu Weredi wenye ujuzi mbalimbali, Nahitaji kujifunza Lugha za kigeni Mfano...
Anzali tulomo humu,waja wote tulobaki
Twaomba kwa ufahamu,kheri kwenu losabiki
Wapiganaji kaumu,walumbi wa taufiki
Dua kwenu marehemu,mlofia zetu haki
Swala zetu zi muhimu,na mola aziafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.