Habari wanaJF,
Ninaomba uzi huu uwe maalumu kabisa kwa ajili ya kuvielewa kwa majina vifaa vya kielectronic na vya teknologia ya habari na mawasiliano (IT) na terminology zake. Unacho takiwa...
The Paragon international is offering an ultimate French course to young students and adults. We have very experienced teachers who can make you speak fluently French in only three months. You can...
Habari za jioni waungwana! naomba kujuzwa maana ya maneno yafuatayo
Nderemo
Vifijo
Cherekochereko
Nnachotaka kujua nikua je haya ni maneno sanifu yakiswahili na kama ndivyo yanamaana gani na...
Greetthinkers!!!!!!!!!!
katika pitapita zangu nilikuta mjadala huu wa binadamu na watu ni tofauti;
kuwa binadamu ni wote wenye ngozi nyeupe na watu ni wote wenye...
Habari wanaJF,
Ninaomba uzi huu uwe maalumu kabisa kwa ajili ya kuvielewa kwa majina vifaa vya kielectronic na vya teknologia ya habari na mawasiliano (IT) na terminology zake. Unacho takiwa...
THE ADVANTAGES OF SPEAKING ENGLISH
Here are some of advantages of Speaking English….you can add more advantages that you may remember, the fact is there are countless number of advantages…...
NDEGE WA THAMANI.
1)Uruke upeperuke,kama ndege wa angani.
Usinache niteseke,nikiumia moyoni.
Na fulani anicheke,nizomewe mtaani.
Ndege wangu wa thamani,sitokutupa njiani.
2)na akili...
Habarino.
Eee, - Hivyo yani.
Unaambiwa:
Papa shurti anuke,
Aso' nuka, - Si Papa huyo.
Harufu 'HALISI' kali,
Lakini 'ISO' KERA'.
Naam, ndio Sifa muhimu,
Yaani ndio Ladha'ye Papa.
Baadae...
DEREVA KIPOFU.
Nina maneno machache, wingi wa vitendawili,
Twende sote sikuache, tuliza yako akili,
Kama usiku na uche, ulione jambo hili,
Kibogoyo ala fupa, mwenye meno lamshinda.
Katika...
Ardhi iliotesha mti,mti wa mauwa na matunda naam mti wa mauwa na matunda wenye asali na achali na ndege waasiliyo waliootesha vichali waishio wao na watoto wao.
ukijani umelemetao wapendeza kwa...
Habari zenu wakuu;
Kama mulivyotushauri kufundisha KIFARANSA kwa njia ya Yutube, huu ni mwanzo wa mfululizo wa vipindi vitakavyokufundisha kuzungumza kwa ufasaha ukiwa nyumbani kwako. Tafadhali...
Hichi ki sentensi kime nipa tabu sana, em wataalamu wa ngeli,yai arimaarufu English tuwekeni saw a hapa.
Ukitaka kusema kwa kiingereza hii sentensi uta isemaje?
" Baba mimi ni mtoto wa ngapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.