Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kwenye nyimbo ya snura ambayo ame tumia neno shindu .. WAKUU shindu Ina maana gani ?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Inasemekana kwamba asili ya neno daladala ni zama za Mwl Julius Nyerere wakati shilingi tano likuwa sawa na dolar moja ya kimarekani hivyo shillingi tano ikawa inaitwa dala na wapiga debe enzi...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
MOYO WANGU TULIA. 1)Sitaki tena sitaki,moyo wangu usumbuke. Sitaki nipate hiki,rohoni nihangaike. Sitaki nipate kiki,wa jamii wanicheke. Moyo wangu we tulia,mjini kuna vya watu. 2)moyo wangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ili mtu utukane,au ili mtu uonekane umetukana kuna vigezo gani au kuna misamiati gani itafanya mtu aonekane ametukana!!!?? Je mtu anayekuambia 'pua yako' Anakuwa amekutukana??? Kama jibu ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hatushindwiiiiii
0 Reactions
1 Replies
752 Views
KICHINA KIINGEREZA KIJERUMAN KIKOREA anayejua chuo kinachotoa mafunzo ya lugha tajwa hapo juu anijuze
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haraka Haraka Haina Mbaraka Kawie Ufike Chelewachelewa utakuta mgeni si wako Ngoja Ngoja yaumiza matumbo Hizi zinachanganya sana, una nyingine?
0 Reactions
14 Replies
61K Views
Wale wataalamu wa lugha naomba mnisaidie kuondoa utata katika matumizi ya maneno yafuatayo ktk kumaanisha USIWE NA HOFU/SHAKA :- 1) Worry out 2) Worry not Ni lipi SAHIHI kati...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jaman kaka na dada zangu uzi Wangu wa kesho au Leo upo wapi mbona mumeuficha kwa alieuficha aniwekee apo
0 Reactions
3 Replies
597 Views
Habari zenu. Leo nimeona niwashirikishe yale yaliyomo katika nafsi yangu. Nitaandika kwa mtindo mgeuzo, yaani sio wa maji kufuata mkondo. Mtunzi yoyote anaweza kuendeleza. Shuka nayo-- Njia...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
WANA WA MAPOKEO. 1)napohisi kuna jambo,akili inanituma. Nitunge niache tambo,fani izidi kuvuma. Wengi wetu tuna mambo,twalea kwa kulalama. Sisi wana mapokeo,wana huru watuacha. 2)wengine washika...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Hello all! I'm really excited to announce that Language Transfer has released the first 5 tracks of the 100% free and awesome Complete Swahili ( languagetransfer)! There's many more tracks coming...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wataalamu wa Kiswahili ningependa mnisaidie swali hili; Andika barua kwa Mhariri wa gazeti la Mwananchi juu ya tatizo la ajira Tanzania, jina lako ni KASHAIJA S.L.P 10. Butiama. Siyo mbaya hata...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Majibu yenu tafadhali tumebishana sana
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Ufahamu wangu wa wastani wa lugha ya kiingereza na kiswahili umenifanya nione matumizi yasiyo sahihi ya either...or ya kiingereza na neno 'aidha' la kiswahili. Nimegundua kwamba baadhi ya...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
MLIVUTA BANGI ? 1)Mlifanya ukatili,adhabu ni haki yenu. Mlitenda ubatili,mkazika ndoto zenu. Ulikuwa ujahili,mwajua taluma yenu ? Hivi mlivuta bangi ?. 2)Mmeshakuwa mgambo,kuyatembeza mangumi...
1 Reactions
2 Replies
780 Views
Lugha ya kiarabu,inatofautiana baina ya nchi na nchi,ila iwe wanaongea kiarabu cha kisomi,eweje mtu ambaye hajasoma kiarabu cha kisomi,aseme amewahi kuishi nchi Saudia,halafu aende Oman,aseme...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Pamoja na yote yanayofanyika leo katika ziara ya Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,nampongeza kwa matumizi ya lugha adhimu ya Kiswahili kilicho safi na sahihi. Akiwa na...
9 Reactions
42 Replies
6K Views
Tusaidiee apaaa etii neno secure kwa kiswahili kizuri ni kulinda? Au lina maana gani?
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafari kazi ya mtu mwenye cheo hiki ndani ya CCM ambaye ni Nape Nnauye bila kuelewa? Kazi yake kubwa ameifanya kupitia mgongo wa CHADEMA, hata mikutano ya CCM...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Back
Top Bottom