Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Naomba kusaidiwa kufafanuliwa hii sentesi ambayo mheshimiwa prezdent ameisema je alikua anawaambia akina nani??? "Fanyeni kazi, tetemeko halijaletwa na ccm".
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba usaidizi kule nitakapo pata maneno yote ya Kiswahili niweke kwenye kamusi ya keyboard ya rununu iwache kushinda ikibadili maneno ninapoandika kwa kisawahili.
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Habari za Jumapili ndugu zangu, awali ya yote nitoe pole nyingi sana kwa ndugu zetu wa Mkoa wa Kagera na mikoa ya jirani waliopatwa na janga la tetemeko la ardhi lililogharimu maisha ya watu...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
1:Mlilala handingwa handingwa mwenye macho haambiwi tule 2: Pema usijapo pema ukipema si pema tena 3:Mwenda tezi na omo marejeo ngamani 4:Oteo ulisemaje, nipe nikupe 5:Ganda la muwa la...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Habari wana jamvi. Ni jambo la kuvutia sana pale unapomsalimu mtu kwa lugha yake ya asili hasa unapoenda vijijini kwa sisi watafutaji. Lengo la uzi huu ni kufundishana salamu za makabila...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nayo ni Fast-track na High-frequency kwenda kiswahili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ANDAA CHORUS MASHAIRI NI SILAHA TOSHA........ USINAKIRI WALA KUKARIRI.. ELEWA DHANA NA TAFSIRI, picha inakile nachofikiri Mdundo nausikia kwenye akili Intro kikatili...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
UPI MCHANGO WETU ? 1)wapo watakao bisha,kwani kawaida yao. Wataona nawangusha,hili ni letu na lao. Macho tunajipofusha,ama tuwaache wao. Washairi nauliza,uwapi mchango wetu. 2)ama tuwaache...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Binafsi huwa nashindwa kupata tafsiri halisi ya huu msemo ,
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Rushwa...wizi...!? Japo elimu sio wingi wa vitabu ulivyosoma !!bali hata Ufahamu Ni Roho (spirit) uliyozaliwa nayo ...sasa Inapokuaja kwenye tuwe Ujinga!? wajinga?..Nataka kujua zaidi! Hivi...
0 Reactions
7 Replies
15K Views
Miaka ya themanini katikati (1984 - 1986) Gari lililokuwa linaonekana la kisasa na la thamani lilikuwa ni gari aina ya Pajero. Mitaani wakaamua kuiita shilingi mia tano "Jero" kwa kufupisha neno...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Hivi tukisema MTUKUFU tunamaanisha nini?
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Jamani mimi huwaga sielewi, ni kwanini madereva wana common name, yani Suka, utaskia suka simama, huyo ndo suka, na nimeanza kuisikia kitambo sana takribani miaka kumi, sasa wanajamvini embu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watanzania tupo katika harakati za kuboresha na kukuza lugha yetu. Sasa hivi tunashughulika kuongeza msamiati katika kundi la maneno ya uchochezi. Mifano ya maneno ya kichochezi ni pamoja na hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za mchana wanaJF Kama una idea ya lugha ya kifaransa tupia msamiati na tafsiri kwa kiswahili ili tujifunze, Naanza Mimi Fr; Mon pay magnifiquè s' appelle Tanzaniè Kisw;Nchi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF Naomba niwakumbushe kwamba kuanzia wiki ijayo, tutaanza Darasa la KIFARANSA – Pre-form one. Tumejipanga kumfundisha kijana kwa myezi hii mitatu, aweze kuzungumza kana kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waswahili wenzangu nimekuwa nikitatizwa sana na matumizi ya maneno yafuatayo, labda mimi kiswahili kimenipiga chemga, ama watumiaji wanatumia maneno hayo ndivyo sivyo. 1. Kwa niaba yangu mwenyewe...
1 Reactions
0 Replies
754 Views
wataalamu wa lugha natumai hamjambo. Naombeni ufafanuzi katika hili kwanini sehemu zinapouzwa ndizi karibu Tanzania nzima zinaitwa Mahakama ya ndizi....mfano mahakama ya ndizi Morogoro mahakama...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Back
Top Bottom