wataalamu hebu nifafanulieni hapa
binamu ndio nani kwa kiingereza?
na cousin kwa kiswahili?
na niece kwa kiswahili?
nephew kwa kiswahili????????
asanteni.....
Wanabodi wajuzi wa lugha,
Rais anapozungumza na Wazee wa Dar es Salaam, wale wa mazungumzo hayo huwa ni kwa ajili ya Wazee wa Dar es Salaam tuu and Watanzania kwa ujumla?!.
Nimeuliza kufuatia...
Wakuu pokeni na kazi ndo weak and imeanza hivyo!!
Wakuu huku kitaa kuna kijimsemo kimeanzishwa hata sijui mwanzilishi nani!! Yaani kitu kidogo mtu analalamika anasema "huyu jamaa amebana sana"...
Koma mwana nakuasa, dunia hino yatisha,
Koma tena koma hasa, siyapupie maisha,
Koma sicheke garasa, turufu huja na kwisha,
Koma mwanangu koma, koma uishi salama.
Koma kumcheka mamba, mtoni wenda...
Kuna mdada yupo anafanya kazi za nje ya nchi , sasa maelewano yake na mabosi yamekuwa magumu sana ndio kaniomba nimtafutie japo vitabu aweze kujifunza kingereza japo kidogo,
WANDISHI:PAUL BEN MTOBWA.
YEAR:2016
CONTACT:0676-310625
Haki zote zimehifadhiwa hairusiwi kuiga,kunakili au kutumia riwaya hii fupi kwa njia yoyote bila idhini ya heko publishers.
ISNBN...
Wakati huo john alikuwa amezidisha ile tabia ya ulevi uliopindukia.wazazi wake kwa kutaka kuepukana na aibu hiyo wakamshawishi aoe kwa matumaini kuwa pepo mbaya aliemkumba mwanao angeondoka baada...
NYAMA YA BUNDI.
1)ni tamu kama halua,ila ni chungu kuila.
Kumeza hutoamua,kama ukila kwa hila.
Mpishi wajipikia,pishi liso na fadhila.
Nyama ya bundi si tamu,vipi unatuwindia.
2)nyumbani...
Hata kama kitu ni muhimu kwako, au ni mtu muhimu,iwe ni ndugu yako pengine imetokea mumetofautiana kimawazo au ugomvi, Jirani yako, au rafiki ama mtu wa kati hataki kujua chanzo cha matatizo au...
WASHAIRI MAPOKEO.
1)ni kweli tumeridhika,kwa kuishia kutunga.
Huku tukifurahika,kwa tungo twaunga unga.
Ama tunahuzunika,wa bara hata wa tanga.
Washairi mapokeo,mbona hatusongi mbele.
2)wenzetu...
Habari wakuu hivi ni nchi gani inayotambulika world wide kwamba yeye ndio mmliki wa lugha hi kati ya tz na kenya maana nmeona matamasha mengi ya kenya wakijivuna kuwa kiswahl ni chao
Mama siku imefika, ya wewe ulonizaa,
Pia sasa ni miaka, tangu walipokutwaa,
Mwaka uliokauka, nusura niwe kichaa,
Mama sasa nayaona, mwanao nimeshakua.
Ukitaabika mno, kwa nguvu zilobakia...
Habar wakuu, Nianze kw kumshukuru aliye toa wazo la kuunda lugha ya KISWAHILI.Binafsi huwa najiskia Furaha Sana nnapo itumia lugha hii tamu,iliyo jaa hekima na ukarimu.... Watu wanao itumia pia Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.