Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nimeona familia nyingi za kitanzania, wazazi wakiwasisitizia watoto kuitika katika moja ya miitikio hapo juu. Utakuta mtoto wa kiume akisisitizwa kuitika " naamu" anapoitwa, na mtoto wa kike...
2 Reactions
86 Replies
16K Views
Hii ni zawadi ya pekee kwa mwanao ; mtaalam wetu wa lugha ya Kifaransa kwa watoto ameanzisha « special children’s workshops” anafundisha watoto KIFARANSA kwa kutumia michezo mbalimbali siku ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa Nikijitaabisha sana Kifikira, Kutaka Kujua, Kwanini Tanzania, Utakuta Makabila Mawili au zaidi Wana lugha karibu Moja Mfano Wasukuma na Wanyamwezi Lakini Wakati huo huo, Kabila Moja...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Siku hizi mtu hawezi kukamilisha mazungumzo yake bila kutumia neno 'kuweza' Neno hili limekuwa maarufu sana kiasi kwamba wengi wanalitumia vibaya. Nimeshasikia wengi wakisema hivi: Mkopo...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mfawidhi ndio mkuu? mganga mkuu na mganga mfawidhi ndio kitu hiko hiko? au ni tofauti?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
TUSI HALIUI. 1)katu halinyongi tusi,tukanwa utukanike. Kama huna ukakasi,basi acha wasikike. Tena wape mafulusi,kwa dharau uwacheke. Wala haliui tusi,kwa mtu mwenye hekima. 2)kwako ni kama...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Ndugu wana JF bunge la Afrika Mashariki limeridhia matumizi ya lugha ya kiswahili katika Nchi wanachama changamoto ndogo ambayo lazima ifanyiwe kazi ni nchi wanachama kuongea matamshi tofauti ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi Ukitaka kumuuliza mtu "wewe ni mtoto wa ngapi kwenu? au wewe ni wa ngapi kuzaliwa kwenu?" kwa kiingereza utasemaje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
City Christian Centre cordially invites Hon/Prof/Dr/Mr/Mrs/Miss........... L'honneur nous echoit, d'inviter votre haute personnalite a prendre part au lancement d'un culte francophone dans...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna jambo latatiza, leo nikupe maana, Wahenga walitujuza, kuwa kufa kufaana, Biashara ya jeneza, jua haina laana. Hutuombea shufaa, mtengeneza jeneza. Kabla kifo kutokeza, kulianza kuzaana...
1 Reactions
0 Replies
766 Views
Jana 29/8 nimemsikia AG akisangaa vyama kufanya kitu kinachoitwa 'operation' hivo kunilazimisha kutafuta maana yake kwenye 'google' na nimekuta kama ilivo hapo chini. <operation Also found in...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu poleni na kazi!! Ni hivi hua sielewi maana ya haya maneno!! Lalamiko!! Dukuduku!! Hoja!! Na maoni!! Kwa sababu kuna sehemu labda unaweza ukawa unachangia mada!!wale wasimamizi wakakupinga...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
MHAKIKI: Dotto Rangimoto Chamchua. REJEA TENA SHAIRI. KUKU ZINDUKA AKILI. Kuku kwa lako umbile, huwezi liona hili, Hukuumbwa na machale, kuyaepuka makali, Halali yetu tukule, Mola katupa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wanafunzi WALIKUWA shambani. naomba kujua kama kweli neno WALIKUWA ni kitenzi kishirikishi au la
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Kifaransa kimekuwa na mvuto wa pekee kwenye utumishi wa umma wa kimataifa, bahati mbaya watanzania tumebaki nyuma sana, sababu ya kutokuchangamkia lugha nyingi kama wenzetu wa nchi jirani...
1 Reactions
0 Replies
749 Views
Habari zenu wakuu; Naomba radhi kwa wale wote walioshindwa kunipigia jana wakati soma la Kifaransa linafundishwa star t.v; inasababishwa na watu wachanche ambao wakipiga simu hawataki kuachia...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
za kazi jamani, kuna hili neno ambalo watu wengi tunatumia kama tafsida ya maana kuingiliwa kinyume na maaumbile. TIGO.au 0713.. nafahamu tangu mwanzo kuwa kuna mtandao wa simu ambao asili yake...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Nichezee upate raha, Kwa ujinga jazie furaha, Ni binadamu kwako Mi kifaa, Sote twafa hatuijui saa, Kwangu umefanya kwako, Mjinga mkubwa tacheka kifo chako, Yote Yana mwisho, Na yako...
2 Reactions
14 Replies
8K Views
Tangu jana hajafika hapa hapo kwenye blue ndo kuna tatizo
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Habari wana lugha Fasihi haitokani na ombwe bali ni matokeo ya uzoefu wa mwandishi..Ni kwa vipi kauli hii imeridhiwa na waandishi wa tamthiliya mbili ulizozisoma.. Naomba kufahamisha Maana Ya...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Back
Top Bottom