KICHWA CHAKO NDO KITABU.
1)Kurasa ile ya kwanza,hufungui kwa mkono.
Hasa pale upo anza,wayafunua maono.
Kufungua wajifunza,nywele ndo yako maono.
Kichwa ni kitabu chako,acha akili isome...
Kwa wale "malinguistics" naomba mwongozo which is is the correct sentence "you can't give what you can't have or you can't give what you don't have....jamani hizi lugha za watu uwii
Kweli safari si kifo, ila yako yaniua,
Inaniua fofofo, mpenzi hilo tambua,
Nenda msalimu Jafo, na wote wano nijua,
Kwaheri mpenzi wangu, nenda urudi salama.
Huu upweke siwezi, sikiza wangu...
Hi,
Naamini vichwa vilivyopo hapa jf, nitapata msaada wa maana na tofauti ya maneno haya ktk matumizi, au lipi ni sahihi na sio sahihi
1. WIMBO
2. NYIMBO
3. MWIMBO
Nawasilisha
Katika baadhi ya habari mbalimbali ambazo nasoma au katika mazungumzo kadhaa, baadhi ya waandishi au wazungumzaji huleta sentensi kadhaa ambazo ndani yake kuna neno "iko" au "hiko". Je ni maneno...
Kuna watu wamekuwa wakijadili umahiri wa Lugha ya Malkia kwa MTUKUFU MHESHIMIWA RAIS DOKTA Magufuli.
Lakini kiukweli tatizo halipo katika Lugha ya malkia bali Lugha kwa ujumla
Ukimsikiliza...
Tangazo lilotolewa na widhara ya afya juu ya kuokoa uhai as mtoto na mama mjamzito alina uhalisia . Sababu za kusema hivi ni kutokana na walioliandaa kutokua makini katika matumizi sahihi ya lugha...
TATIZO LA MUAFRIKA.
1)tulivyofanywa watumwa,tulikuwa hatuoni.
Wajinga waliotumwa,walipita baharini.
Ingawa mengi yasemwa,hatuyaweki kichwani.
Tatizo la muafrika,achukia sura yake.
2)hatujali...
Hajimemashte , Watashi no namae wa John desi Yoroshiku onegai shimasi .
Natafuta Mtanzania ambae yupo JF na anajua Kijapan , nahitaji mtu wa kuongea nae/kuchat nae lugha hiyo , level yangu kwenye...
Habarini wajumbe .....
Nipo hapa kuwaelekeza tofauti kati ya mzaha na utani.
Kwa kipindi kirefu haya maneno yamekuwa yakitumika kwa kufananishwa........ila yanabeba maana mbili tofauti. Nitaanza...
Habari jf,
Hivi naomba kuuliza, hili suala la kuenzi kiswahili ni la mtu mmoja au la kitaifa? Na kama ni la kitaifa mbona mawaziri hasa huyu wa mambo ya nje ambaye nimemsikiliza sana kwenye...
Ni j.pili njema wakuu,
Poleni na majukumu ya and natumaini mambo yanenda kama alivyoyapangilia huyu alieshikilia mbingu huko juu bila kuweka nguzo.
Dhumuni la uzi huu ni kuhusu holi neno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.