Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Ni'lenaye kisirani, mshari pia jeuri, Ala vitu hadharani, subuhi na adhuhuri, Na swaumu hapatani, ila apenda futari, Jike langu mtihani, haifungi ramadhani. Kufunga ati hafungi, ila daku atakula...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Salama ninaumia, mizigo kukubebea, Ndani unapo ingia, na nje kujitokea, Michubuko wanitia, mwenyewe wachekelea, Mengi umenitendea, ukome kunitumia. Hamu yako ulegee, na pumzi zikuishie, Hapa pale...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wahenga walisema chanda chema huvikwa pete na mchagua jembe si mkulima! na pia aliye juu mngoje chini! hembu na wewe tupia ya kwako ya wahenga! karibu....
1 Reactions
7 Replies
16K Views
Wajitia kukataa, huna lolote wataka, Yanini inuka kaa, na jasho kukumwaika? Sasa wachuchumaa, kama tipa wabinuka, Zina nitia wazimu, hizo sitaki nataka. Fahamu nimeshapika, mezani nimeandaa Qadar...
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Vitenzi vya ungonoishaji ni vitenzi vinavyochukuliwa kuwa na uhusiano na tendo nzima la kujamiiana. Matumizi hayo ya maneno yamepelekea wataalamu kutoka chuo kikuu cha dar es salaam idara ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasalaamu wanajamvi. Ninaelewa hapa pana wataalamu &na wajuzi kutoka TUKI. Vinginevyo hata kwa aliye yeyote. Nina hitaji la Kamusi ya Lugha ya Kiswahili yenye vidahizi(maneno), misamiati na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiswahili ni zao lililotokana na lugha hizi za kibantu , ambazo zmechangia kwa kias kikubwa misamiat katka lugha yetu lugha ya kiarabu nayo kwa asilimia zake imechangia. Kiswahili kinakua kwa kasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
*POLE MTU MWEUSI.* 1) _pole watu weusi,kwa kuzidi kuonewa._ _Poleni watu weusi,kwa kuzidi baguliwa._ _Poleni watu weusi,kwa kuzidi kuuliwa._ *Poleni watu mweusi,ubaguzu wendelea.* 2)wala si...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii thread ni Maalum kwa MANGI wote waliopo Mjini. Tuendelee kufundishana Kichagga na ile Misemo/Methali za Watu wa Kale ili kutunza Mila na Desturi zetu. Kuna Misemo kama "Mokaa kacha nekenyo wa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
*KISOMO KIRUMIRUMI.* 1)wimbo sasa wanifunza,na vyema nauelewa. Ndo kwanza tumeshaanza,wala hatujachelewa. So kila zazi la nyanza,lakili kulewalewa. Kisomo kirumi rumi,chaundwali tukisome...
2 Reactions
0 Replies
820 Views
Nimechafuka na wino, sababu yako fulani, Ili nipate maneno, nikukomeshe fatani, Siyataki malumbano, hilo liweke kichwani, Nimefanya kosa gani? mwenzangu sifiche neno. Nimepata mnong'ono, waniteta...
3 Reactions
1 Replies
984 Views
Naulizia maana ya neno KIBEKO na pia neno UNGO inamaana gani?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
NIMEMPA MANENO KILUGHA SASA AKILI KICHWANI MWAKE Wako kaka hamornize uve nkukumbuka apanu pachilambo ufete chani?... anayemwali waa akave mmaeeh ngukuaulila aneyo mwali wanchema mnchaga nang'e...
9 Reactions
88 Replies
13K Views
NG'E WA KAYA. 1)wazee walishasema,kaziyo siyo rahisi. Wakakuonya mapema,ukawahisi mijusi. Kwamba kweli mwanachama,utaifuta najisi. Hawa ndo ng'e wa kaya,lazima uwafute. 2)salamu zangu...
1 Reactions
0 Replies
820 Views
Hivi hii hadithi tuliyoisoma kwenye somo la kiswahili kati ya darasa la 3 na std4 iliyokuwa inasema "MUWA WAZAMISHA MELI" hivi ilikuwa inamaanisha nini..!?
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wakuu , naomba kutafsiriwa haya maneno mawili kwa kiswahili. Print Type.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Braza punguza mwendo. 1)achapo nikuusie,japowe mtu mzima. Sikiza na usikie,jahazi lenda kuzama. Fanya le ujiundie,hawatoacha kusema. Braza punguzaga mwendo,na mbele jitazamie. 2)jinsi le...
1 Reactions
1 Replies
795 Views
Kisa cha kweli mzuka! 1 Kisa cha kweli mzuka, ulipotajwa bungeni Ilikuwa heka heka, ninawajuza juweni Walihamaki mzuka, u wapi hapa bungeni? Ni mtihani mzuka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kisa cha kofia bungeni 1 Kisa cha sasa kofia, kimetokea bungeni Na hoja aliitoa, akilalama bungeni Kwa kina kaelezea, kadharauliwa juweni Kisa cha kweli kofia, kimetokea bungeni! 2...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
UKIWAHISI WAPIGE. 1)mnamshangaa mwewe,kuku avyo watafuna. Sema udakwe na wewe,cha moto utakiona Usemwe na ushangawe,jama lazidi kutuna Ukiwahisi wapige,hakimu akose kazi. 2)vipanga...
1 Reactions
0 Replies
832 Views
Back
Top Bottom