Nashangaa!! napoambiwa lugha yetu ni kiswahili wakati huo;
Kwenye maombi ya kazi karibu yote nchi nzima wanatoa kwa kingereza,taarifa au tangazo flani labda unakuta mabadiliko ktk sector...
Uandish kwa lugha yetu unaelekea kupotoshwaUandishi kwa lugha yetu unaelekea kupotoshwa, achana na ile mtu kupunguza herufi ila neno litaeleweka na halitakua na utata mfano;
Dsm-=Dar es Salaam...
Habari zenu wanajamii forum,natumaini ni wazima wa afya
Nilikuwa naomba kwa yeyote yule mwenye kitabu kimoja kinaitwa ELFU LELA ULELA aniwekee attachment ili niweze kuidownload maana kitabu...
Hi,
Wakuu naomba mnielimishe maana ya AIRPORT kwa kiswahili tafadhali... Naipenda lugha yangu ya kiswahili, hivyo napenda ninapozungumza lugha hii nisichanganye na lugha ya kigeni...
Haya ni baadhi tu ya maneno ya kiswahili ambayo ukiwa tanga utayasikia tofauti kidogo
1. Nakuja - Naja
2. Unaenda- waenda
3. unanichokoza- Wanchokoza
4. unataka - Wataka
5. Mama mdogo - Odo
6...
Mapokezi ya kale ya hayo makabila tajwa hapo juu yaliweza kuchukua sehemu moja ya Fasihi simulizi ambayo ilitumbuiza, nasihi, taanasi, sherehesha, kutoa taazia na kwa malengo mengineyo...
habari za muda huu wana jamvi, wakuu naombeni mnidadavulie kidogo tofauti ilyopo kati ya Binadamu na Mwanadamu make hapa nilipo kumetokea mvutano kidogo wa watu upande mmoja ukiwa unasema...
MWENDO KASI.
1)ni vu zaidi ya honda,hivyo ndivyo wavyoona.
Vitambi vya zidi konda,vinakufa vya kunona.
Ndo tunda walilopanda,kuleni acha kununa.
Huo ndio mwendo kasi,karibia utazima.
2)sasa...
Nadhani mko poa.
Habari zenu wakuu na wajuzi wa lugha,mimi japo ni mswahili na kiswahili ndio lugha ambayo hata ndotoni ndio naitumia nina matatizo makubwa sana ya kutumia lugha hii kwenye simu...
Watu wengi nimewasikia wakitamka neno 'embu' na kwa upande mwingine nimewasikia wakisema 'ebu' na wengine pia 'hebu' mfano;
Mtu wa 1:embu niletee maji
Mtu wa 2:ebu niletee maji
Mtu wa 3:hebu...
Wataalam wa lugha,
Naombeni mnipe tofauti ya maneno hayo hapo mawili.Ninaangalia namna ya kuandaa utetezi wa Lissu na kumchomoa makuchani mwa wabaya wake.
Kile kidubwana tulikuwa tukikizungusha kwa kukichapa na mjeledi tukiwa madogo enzi hizo kinaitwa PIA sasa kwa kiingereza kinaitwaje,nimetafuta hata online sikupata maana yake.
Matumaini yangu mpo wazima, Ishu ni kwamba mimi binafsi nafikili kuna baadhi ya vitu au maneno si yalazima kuyataja ktk sentensi au kauli. kwa mfano uta sikia mtu anasema "Ngoja kwanza nikaoge...
Ni baba wa rafiki yangu kwa bahati mbaya hawajawahi kuonana,,kuna taarifa zinahitajika kuhusu kabila lake...taarifa zilizopo ni watu wa maeneo ya mbesa Tunduru....Ruvuma.Msaada wenu tafadhali kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.