Shule zafunguliwa watoto kuhudhuria
Wakubwa kwa wadogo maarifa kujipatia
Pekupeku twaenda na kamasi zikitutoka
Yeye atukumbatia bila kujali twamchafua
Hakuna kama mwalimu jamii yote yajua.
La...
Viongozi, napata shida sana kufahamu, usahihi wa uwingi wa maneno haya hapa chini, usahihi wake ni upi?
Mbuzi/kuku/ng'ombe/samaki wangu au Mbuzi/kuku/ng'ombe/samaki zangu???
Nasikia wengine...
Jana usiku mwanangu Ngina kanistukiza na swali, akitaka kujua eti Senene wanaitwaje kwa kiingereza.
Nilijifaragua, kisha nikamwambia nitamjibu baadae, hata hivyo nikamtoroka nikaenda kulala, leo...
Napata wakati mgumu sana kuelewa neno nipo/tupo kwenye mchakato linamaanisha nini hasa? Maana kila mtu analitumia atakavyo,mwenye uelewa zaidi anijuze.
Waanzilishi wa lugha ya kiswahili walikuja na maneno mengi ya kiswahili.
Kuna baadhi ya maneno yalitumika kwa nadra, lakini yalipata kipaumbele kufanywa kama maneno matukufu katika lugha , kama...
ILHAM
Maisha ni tufe lililosheheni mduara wa muendelezo wenye visa na matukio yenye mipaka ya wakati. Imani hujenga mwanzo na mwisho. Uhalisia huzingatia kuwepo kwa mwanadamu na kuaga kwake. Visa...
Mwenzangu nikueleze, naomba sikio tega,
Fanya nenda ukacheze, pale unapo chezaga,
Tena muda sipoteze, ondoka pasi kuaga,
Chungu hutaki kupwaga, vipi moto uchokoze?
Nakuona uko bize, kama wataka...
habari zenu wapendwa wa jukwaa la lugha:
naendelea na kazi ya ufasiri kiswahili kwenda kiingereza... leo imebidi nifasiri "kiti cha marimba." je, "wooden chair" inatosha? au kiti cha marimba kina...
KWELI SISI NI TWIGA.
1)ni sa sita usiku,balaa litapozuka.
Tukichinjwa kama kuku,na wenyewe tukicheka.
Na vichwani twa viduku,na bongo za tetemeka.
Hivi kweli sisi twiga,ama tunaiga iga...
Nawajulisha bungeni, na ninyi wa humu ndani
Kinyag'nyiro nchini, na mimi nimo kwa ndani
Ninazunguka nchini, mijini na vijijini
Na mimi nimo kwa ndani, kinyang'anyiro nchini
Na mimi nimo njiani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.