1
Mama mama, sorole nyumbu nyama yetu.
Mwanangu siye nyumbu siye,
Nyumbu mkia wa singa, mrefu kama farasi,
Hatembei kwa kuringa, haruki kibelewasi,
Ya’ni si kama kinyonga, huenda kwa mwendo kasi...
Watumiaji wengi wa Kiswahili, nyakati fulani wanatumia maneno ya Kiingereza mahali ambapo wangetumia neno la Kiswahili wakidhani kwamba hakuna neno la Kiswahili ambalo linaweza kuchukua nafasi ya...
Limetumika bungeni na naibu spika kumtuliza mbunge kwa kumuita bwege baada ya kutoridhshwa na mwenendo wake maana yake hasa ni nini hili neno?
Pia Arusha limempekeka raia mahakamani kwa kumuita...
nimepata kuwasoma wakuu kama akina acid, kiranga, rev masanilo na wengineo wakitumia neno 'vilaza' katika hoja zao kuonesha mwenendo fulani { pengine kifikra?}.
nimejaribu kutumia context kuelewa...
Wasalaam!
Naomba kama kuna mtu anafahamu jina halisi la mmea kisayansi) mchaichai, kwa wale ambao wamewahi kunywa chai ya mchaichai nadhani mtakuwa mmenielewa na maana gani.
Si maana nataka jina...
Rais niombe radhi, tena iwe hadharani,
Kauli yako yakuudhi, imekera si utani,
Leo nakupa waadhi, uandike ukutani,
Nasi tuna yetu hadhi, tulo feli darasani,
Mimi kunita kilaza, rais niombe radhi...
Rais niombe radhi, tena iwe hadharani,
Kauli yako yakuudhi, imekera si utani,
Leo nakupa waadhi, uandike ukutani,
Nasi tuna yetu hadhi, tulo feli darasani,
Mimi kunita kilaza, rais niombe radhi...
Tumbo laniunguruma, ninaharisha matata,
Kichwa nacho chaniuma, kitovu kinanikata,
Kila siku mie homa, ngozi yote yafukuta,
Si bure nimeupata, hizi dalili za ngoma.
Mbavu zina chomachoma, mgongo...
Waheshimiwa wa Jukwa la Lugha:
Natumaini hamjambo nyote. Mimi ni mfasiri wa Kiswahili kwenda Kiingereza. Leo nimekwama... ninahitaji kufasiri maneno hayo mawili: waya na seng'enge - katika...
Ndugu Wanajamvi,
Naomba nieleweshwe maana ya neno Kitoko kwa lugha ya kikongo. Kuna mtangaji wa redio Uhuru fm pia anajiita Mwasikitoko.
Kwa kilugha chetu huku Umakondeni ni tusi kubwa sana...
Kuna watu kwenye mitandao wanaharibu sana lugha ya kiswahili. Hasahasa kwenye maneno yanayo husu "H" unakuta kwenye kuweka H mtu anaiondoa au anaweka H pasipo takiwa.
Ninaomba tukifunze matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.