Habarini wadau wa lugha,
Binafsi ninapata shida sana kuelewa mantiki hasa ya neno tajwa sababu ninaona maneno mawili ndani ya neno moja yenye maana ileile..taarifa ndio habari hiyohiyo.
Hem...
Habari za muda huu wana JF?
Kama kichwa cha uzi inavyojieleza ningependa kushea mawazo yangu katika jukwaa hili kwa kufikirisha mawazo yetu kwa mustakabali wa lugha yetu ya Kiswahili kama lugha...
.........NAONA MSO YAONA...........
Mmenitia upofu, ambao wanishangaza,
Sizioni tena hofu, ambazo zilitatiza,
Sioni pia machafu, moyo yalouchukiza.
Penye kiza kuna kitu, nakiona kina ishi...
Nimekutana na neno ili limeandikwa kwenye Hiece zaidi ya tano Arusha.
Lingine limeandikwa Roho zetu Mafie.
Naomba wanajamvi kwenye uelewa anijuze.karibu
UKIFWATILIA KWA MAKINI MASOMO HAYA YA LUGHA YA KIFARANSA, NA IMANI BAADA YA MDA MDOGO UTAWEZA KUZUNGUMZA KWA UFASAHA, NAOMBA MUNIFAHAMISHE KAMA SOMO HILI LIMEELEWEKA ILI NIWEKE LA PILI, PIA...
Salaam jf.
Naombeni nitafsiliwe maneno haya jamani kwa kiswahili manake nimekukuruka wee! mpaka basi Nimemaliza dictionary zote hadi Universal Dictionary
"I discourage a cult of personality"
Haya wakali wa lugha njoeni hapa mnipe maana halisi ya neno Binuru
Nafahamu mtu akikwambia Alamsiki utaitikia binuru, sasa neno "binuru " lina maana gani??
Mara nyingi kwenye maongezi yetu mitaani huwa tunaongeza neno "Ga" ili kuonesha kuwa sentesi husika inamaanisha wakati uliopita. Kwa mfano "unakulaga" "anakujaga" "ninasemaga" na mengine mengi tu...
KOMBE LA HARUSI.
1)Mashallah tumeshaoa,ndio kauli ya kwetu.
Mke mmetupatia,hiyo ni furaha yetu.
Ndoa imeshatimia,lileteni kombe letu.
Hilo kombe la harusi,leteni sote tulile.
2)kwanza...
wadau wa lugha, naomba kujuzwa tafsiri sahihi ya neno 'aga'.kwani mimi nahs neno ninalotumia lina mapungufu.nimekuwa natumia neno 'to wipe'. je hakuna neno jingine mbadala.asante
Siajwahi kuwa mdau sana wa hili jukwaa ila naanza kuona umuhimu wa kuanza kulitumia, maana kuna maneno mengi ya lugha ya kiswahili huwa yananipiga chenga kumbe ningeweza kupata msaada humu, nini...
Leo nimejiuliza sana nikatafakari ila sijapata jibu kuhusu hii kitu. Hivi 'Photo' na 'Picture' ina maana sawa au ni tofauti? Kama ni tofauti naomba kuelimishwa.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.