Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
MAONO YA JANGWANI. 1. Kwa macho haya mawili, Nilishuhudia, Vinginevyo yapofuke. 2. Kwa masikio mawili, Niliyasikia, Kinyumeche yazibike. 3. Malaika elfu mbili, Menisimamia, Kwa vishindo na makeke...
0 Reactions
1 Replies
810 Views
[emoji310] [emoji310]
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MAONO YA JANGWANI. 1. Kwa macho haya mawili, Nilishuhudia, Vinginevyo yapofuke. 2. Kwa masikio mawili, Niliyasikia, Kinyumeche yazibike. 3. Malaika elfu mbili, Menisimamia, Kwa vishindo na...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Nimejikuta nikijiuliza kwa nini waganda amekuwa wagumu sana kukikubali kiswahili? Ningetegemea wawe mbele zaidi hasa ukizingatia wamekuwemo Kwenye uanzilishi wa jumuia yetu na Vilevile kiswahili...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Shida yangu kubwa ni neno "was" ukitaka kulitumia na verb unatumia verb gan Kat ya irregular verb, past au partipaticiple mfano juz boss aliniambia I was not seen you in an office hpo ilo neno...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ingia HAPA
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kiswahili au lugha yeyote kila neno lina mbadala au neno sawa na maana (neno)la mwanzo. Mfano: amekufa=ameaga dunia mrembo=ua emu na wewe andika maneno unayoyafahamu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lipi ni sahihi zaidi katika matumizi ya lugha ya Kiswahili
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba mtu yeyote anayejua maana ya neno "hartiti" anisaidie
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Naomba ufafanuzi tafadhali. Mtu mwenye kisirani anakuwa katika hali gani? Kisirani ni hasira.? Nini tofauti ya hizi hali. Naomba na mifano kamaitawezekana. Nawakilisha
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Abari ndugu zangu na wana kiswahili... Kuna maneno ambayo yanatumika mujarabu kama ya kiswahili lkn kumbe yameathiriwa na lafudhi zetu mfano:- For line = foleni I see= aisee Kma unao mfano...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
UWANAUME SIYO NDEVU. 1)Moja ni uvumilivu,na kutokata tamaa. Ili mbele kula mbivu,na kuacha kuzubaa. Kujilinda na uvivu,na kuiacha zinaa. Uanaume si ndevu,ni matendo na tabia. 2)mbili wala si...
1 Reactions
0 Replies
673 Views
Moja ya mashairi yake yanasema: Kama ni watoto fika kwetu posa, utawaona,utawaona, usifike kwangu utaleta fujo, na mpenzi wangu wa sasa tulitalaka na wewe bila kuleta kitu kwetu... Simjui...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Angalia video hii kisha fuata maelekezo: *vigezo na masharti kuzingatiwa(lol)
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiswahili haina Q. Nimekaa muda mrefu na kutafakari kama kuna neno la kiswahili lenye q ndani yake. Kwa muda sasa keyboard ya simu yangu imenigomea kuandika q lakini hata hivyo sijahihitaji...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wana JF. Naomba msaada wa tafsiri ya maneno haya katika Kiswahili fasaha: Postcodes Internet Data Centres High Performance Computing
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi za mda huu nina shida ya kutokujua kuandika ngeli naomba msaada wenu,kuongea najua ila kuandika ndo issue.ntashukuru kama mtanisaidia kwa hilo mana niko form 2.napaya shida sana darasani
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Mzee mponda kaponda tope je tope pondwa litapondwaje? Mnirejeshee mrejesho [emoji23] [emoji28]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NA BIFU NA ADIMINI. 1)nione sina adabu,ukweli nikuambie. Niseme kilo nisibu,upende na uchukie Acha nipige ulabu,na haya inikimbie. Na bifu na adinimi,natamani nikuteke. 2)ni mbaya yako...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Ninaomba kuanzisha hii mada baada ya kusikia kwamba kuna mahali walimu wamefukuzwa kwa sababu ya kuongea kiswahili katika mazingira ya shule. Niseme tu kwamba naunga mkono jambo hilo kwa asilimia...
5 Reactions
121 Replies
17K Views
Back
Top Bottom