Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Imeibuka kasumba kwa wanaume nao kuiga misemo ambayo kusema kweli inatia ukakasi haiwezekan mwanaume na wewe unatumia neno tyuuu aisee tuangalie baadhi ya maneno sio kila kitu tunaiga binafsi...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
"In humans (homo sapiens): The storytellers control the world, Of course, each of us free to tell stories."
1 Reactions
3 Replies
476 Views
Habari zenu wakuu? Kuna hili swali Huwa najiulizaga muda mrefu sipatii jibu pengine hapa naweza pata ufahamu! Nilipenda kujua muwa ni nini he ni tunda, kinywaji, mboga, nyasi au nini? Asanteni
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania' Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "ebila", "ebitomasi"...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Wajuvi wa lugha mnisaidie,kwakuzingatia mzizi wa neno,kitenzi na matamshi upi ni usahihi wa maneno au sentensi hizi: Onyesha-onesha Kaka wake-kakaake Hajala-hajakula Hajaja-hajakuja NB...
2 Reactions
4 Replies
671 Views
Ujue kwenye hii dunia Lugha ya mawasiliano Worldwide is English ila sisi Tanzania tunaendekeza sana Kiswahili. Watu tukienda huko nje tunashindwa vingi coz our English ni poor kabisa mm ningekua...
0 Reactions
6 Replies
701 Views
'Otherwise these is absolutely rubbish;' by PhD Holder and JamiiForums Great Thinker dr namugari Tafadhali Wordsmiths Wengine akina jiwe angavu na Division One Mimi GENTAMYCINE nataka Kukijua...
6 Reactions
11 Replies
966 Views
Hakuna maana yoyote ya kijinadi kama taifa la Kiswahili kama kwenye vyombo vyetu vya habari vinakuwa na makosa mengi kwenye matamshi ya Kiswahili. Au la basi mmoja wa Watangazaji anayekidhi...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Wasalaam wana bodi! Ndg zangu nimesikitishwa sana na ukimya wa waziri wa sanaa, utamaduni ,michezo na burudani ndg Nape Mnauye kwa kutokuona jinsi lugha adhimu ya kiswahili kinavyoharibiwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JamiiForums naomba msaada wa kujua nini maana ya neno MSHUA. Wakati gani hutumika, mazingira gani husika, jinsia gani hutumia na ni muhusika ni nani hasa anapaswa kuitwa MSHUA. Hovi karibuni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Straight to the point;- Nauliza, " Usambe" ni nini?" [emoji848]
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Je mwigulu nchemba alipaswa kuwa wziri wa pesa au waziri wa fedha? Au utafauti wake ni Nini na kwa nini asiitwe waziri wa pesa.
0 Reactions
10 Replies
884 Views
Habari. Naomba msaada zaidi, Kwa Dar es salaam, ni wapi naweza kujifunza lugha ya "SPANISH ". Na gharama zake kwa ujumla.
1 Reactions
1 Replies
580 Views
Mara kadhaa nimemsikia Mtaalamu wa Lugha Bw Oni Sigala akitoa ufafanuzi au maana ya maneno mbalimbali ya Kiswahili baada ya kuulizwa na Mtangazaji. Mimi sio Mtalamu wa lugha hii ila ni...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kwanini mtu akija huku Dar anapenda lafudhi ya kiswahili chetu? Yaani unakuta mtu anaiga kabisa ule uongeaji sijui na yeye aonekane kazaliwa huku? Sasa kibaya zaidi anavyoongea ni hovyo...
21 Reactions
66 Replies
9K Views
Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikiwa mtoto nilikua nikisema shikamoo kwa upesi sana lakini kadri navyozidi komaa kiakili napata ugumu wakulisema pale napokutana na watu walionizidi umri. "Shikamoo" ni neno la kiswahili sanifu...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini wadau, Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini. Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Kiswahili ni lugha ambayo imetokana na Kiarabu na Kibantu na maneno mengine machache yaliongezeka kidogo kidogo kutoka lugha zingine za Afrika, Uropa na Asia. Kabla ya kuja wakoloni wa ki Uropa...
8 Reactions
250 Replies
39K Views
Kumekuwa na kasumba ya watendaji wakuu wa serikali kutoa maelekezona majibu kwa kutumia lugha ya kiingereza na kiswahli, Hali hii imepelekea wananchi wengi kubaki wasikilzaji wa sauti pasipo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…