Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Alama, inayojulikana pia kama International Day of Sign Languages, husherehekewa kila mwaka tarehe 23 Septemba. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kuongeza...
Ukifika mitaa ya Mbezi mwisho ukiulizia mkalimani Clark huwezi nikosa kabiiiiiisa
Ni Mimi mtaalamu wa lugha ninayeweza kuongea Hadi lugha tano 😌
Leo tunaanza na salamu za asubuhi...
Kwa anaye kielewa anijuze. Wakenya wanaharibu sana lugha yetu. Kurasa za mitandao ya kijamii ya bbc imegubikwa na Kishwahili kibaya sana(kisicho fasaha). Ili nalo likatazamwe!
Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo...
Hili ni gazeti la lugha ya kiingereza la leo 12/09/2023 kutoka Tanzania!
Kichwa cha habari ni sahihi? Najua ujumbe kusudiwa umefika! Najua ni makosa ya kibinaadamu! Tatizo wakenya wataanza...
Nanukuu "wakenya mnakiswahili kibaya inatakiwa mpewe darasa la kiswahili"- Samia s. Hassan
"Sisi ndio tunakiswahili kibaya ila tunawajibu kwa kiswahili kibaya na watanzania mnatujibu kwa...
NANI ATANGULIE
Kifo hakina chaguo, chabeba kimtakae
Wawili wapendanao, mke mume kichukue
Na hata kwa mkupuo, bora kifo kiamue
Ni nani atangulie, kati ya mke na mume?
Mke ndiyo kimbilio...
Pesa si matumaini yao
Ni msukuma mkokoteni
Tena na jua kali kichwani
Pato lake sio ahueni
Pesa si matumaini yao
Ajabu mwajiriwa tajiri
Na mwajiri wake ni fakiri
Analipa, kipato swaghiri
Pesa si...
Habari za mda huu wakuu. Kwanza kabisa nikiri kuwa asiyekubali kujifunza hafai kuishi katika dunia hii ya mabadiliko,
Leo katika pitapita zangu nikaona jengo flani ivi limeandikwa MINI SUPER...
Siku hizi kuna msemo maarufu sana wa 'pira papatu papatu', wengi hawaelewi asili ya msemo huu.
Msema huu asili yake mchanganyiko wa struggles za na sauti zitokanazo na samaki anapokua akirukaruka...
Habari za asubuhi wana JF,
Nimekuja humu nina shida ndogo maana penye wengi pana mengi nimehamia nyumba fulani hapa jijini wenye nyumba ni wahaya hawa watu wakiniona nimerudi wao ni kihaya tu...