mambo zenu wakuu:
samahan kwa mnaofahamu,napenda kujulishwa kwamba: je; kiswahili ni cha ngapi katika lugha za kimataifa?; na je, inawatumiaji wanaokadiliwa kufikia wangapi duniani? pia maeneo...
Salamu kwenu wadau!
Leo nilikuwepo sehemu fulani nikakuta watu(wanafunzi) wanafanya mashindano ya kiingereza. Sasa kuna sehemu ya kutafsiri kwa kiingereza hizi sentensi za kiswahili. Mimi...
Salaam Wakuu!
Uwa najiuliza, ni sababu ipi ya msingi inayofanya Wabongo kulazimisha majina yao ya Kibongo kubeba 'double consonant' kama ilivyo ktk majina ya Kizungu?
Kadri ninavyo fahamu...
Kwa maana sasahivi jina utukufu limekuwa ndiyo kichaka cha ccm kifichia maovu yake na kuwapaka wananchi mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kwa heshima naomba tuchambue jina UTUKUFU, TUKUFU,na maana yake.
BAKITA, hivi kwanini mmelala hivyo. Kiswahili kinachafuliwa sana. Kiswahili fasaha ni Jina lako nani?. Sio Majina yako nani?.
Ukiulizwa jina lako nani, hapo utayataja yote hatakama yanafika kumi...
Naomba kujuzwa maana ya jina Tibaijuka kwa ndugu zangu wahaya. Nikijaribu kufanya direct translation naona kama ni "mtanikumbuka" ;kama ni kweli hiyo ndio maana yake, tutamkumbuka kwa lipi huyu...
wanajamvi habari? naomba kujua matumizi sahihi ya maneno mno na sana kwa sababu nimekuwa nikipata shida je kila neno ni mbadala wa lenzake au la! mf:amekula sana
au amekula mno kipi ni kiswahili...
Utunzi huu ulikikuwa maalumu kwa kidato cha nne shule ya sekondari Mtombozi iliyoko mkoani Morogoro. nimejaribu kufuata nyayo za Mabala Richard, sina hakika kama nimeweza kufata nyayo zake, majaji...
Kuna tangazo linarudiwarudiwa sana kwenye kituo cha televisheni ya star (startv).Tangazo linahusu ubora wa king'amuzi cha continental.
Anayekisifia king'amuzi hiki anatoa maneno mengi ya sifa huku...
SEHEMU YA KWANZA Masimulizi ni zaidi ya tafakari.Sikushangazwa kwani hata michirizi ni zaidi ya mistari iliyonyooshwa kwa rula na mjuvi wa taaluma ya uchoraji kwani hutumia ustadi wa hali ya juu...
ILIYO SHEHENI MAUDHUI YA KUFUNZA YA KUTOSHA, UZUNI., VICHEKESHO NA HISIA ZILIZOBEBWA NA WAUSIKA MBALIMBALI AKIWEMO MR.CHEICHEI MWANADADA CPRO, DR. LADYA NA WENGINE WENGI. HII NI SEHEMU NDOGO YA...