Ndugu zangu hapa Dar ni chuo gani au kituo gani kinafundisha vizuri lugha ya kiingereza 'english course' cha kuongea na kuandika.
Maana naona matangazo mengi sana mitaani, redioni na tv kuhusu...
Kibanda umiza - is a local cinema where all movies are translated live to Kiswahili by a DJ, so that the audience can understand.
Baobonye - Keyboard
Neno au msemo gani wa Kiswahili uliouona...
Miongoni mwa vyombo vya habari vyenye weledi usio na shaka katika habari zake ni BBC Swahili. Nami nimekuwa msikilizaji na msomaji wa chombo hiki kwa muda mrefu sasa hasa nyakati za asubuhi na...
Ziwe mbili au tatu, Hilo Bado mgogoto,
Nina mengi nawazua, wa kunifumbua hola,
Na hata akitokea, Heko yake nitampa,
Ziwe mbili au tatu; Serikali Tanzania?
Tume yake Warioba, Maoni ilikusanya...
Kila lugha ina maneno fulani yanayosumbua wanaojifunza hiyo lugha. Nimegundua katika Kiingereza yapo haya maneno yanayotumiwa vibaya na baadhi ya watu kama ifuatavyo:
their, there, they are...
Salaam wana JF!
Kuna hili tatizo ambalo nimeliona katika jamii yetu (humu JF) na kwenye mitandao mingine ya kijamii. Nalo ni la kuchanganya matumizi ya maneno 'lose' na 'loose'. Haya maneno ya...
siku hizi mimi naona neno la jamaa. inaonekana neno ya jamaa kuna maana mengi.
1. Amekwenda kuwatembelea ndugu, jamaa na marafiki. Hapa jamaa ina maana watu ambao una mahusiano nao ya...
Mambo,
Ningependa kuuliza maswali kuhusi misamiati ya kutengenza magari. Mimi ni msomaji wa kiswahili lakini nimeshindwa kuwaelezea mafundi shida zangu. Kwa mfano naomba usaidizi ya kutafsiri...
Kuna jamaa yangu (research scientist) alikuja hapa nchini akafanya kazi Mikoa ya Mwanza na Shinyanga. katika mambo aliyojifunza Tanzania ilikuwa ni pamoja na lugha ya kibantu ijulikanayo kama...
Is it possible that every denomination is right?
Je, inawezekana kwamba kila madhehebu ni sahihi?
Au, Je, kuna ukweli kwamba madhehebu yote ni sahihi? Ni sahihi kusema madhehebu haya au hii...
Huwa nachukia sana ninaposoma na kukutana na maneno haya
Lula badala ya Rula
Mologolo-morogoro
Foreni-Foleni
Ugari-Ugali
Kula-Kura
Nimekuwa nikijiuliza tatizo ni nini kwa watu kama hawa
Nashauri...