Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Leo siku ya Jumamosi 28/6 muda kama wa saa 5.30, nilimsikia Waziri wa Fedha Mh. Sada Mkuya aki wind up mswada wa sheria ya fedha akisema kwa kiingereza: 'I can see a huge different.....' Huu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni msaada wenu, mara nyingi tumekuwa tukishuhudia na kuwaona watu wenye matatizo ya:- Kuona > tunawaita vipofu, Kusikia > tunawaita viziwi, Kusema > tunawaita mabubu, Sasa hawa watu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu walimu wangu wa jukwaa hili.. kuhusiana na maneno hapo juu, je ni sahihi kuyatumia? maana ni mazoea ya watu wengi sasa nikiwemo mimi huwaga napendaga kuyatumiaga
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakuu Nikitaka kuuliza hivi kwa kimombo nitasemaje? Hii ni lugha yako ya ngapi? natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini? naomba mnisaidie kunipa maana ya hili neno internet cafe Kwa kiswahili
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wadau wa hili jukwaa naomba kama kuna mwenye kulijua neno refu kuliko yote la kiingereza anisaidie
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Kama sijakosea neno udhu utumiwa na ndugu zetu waislamu,nimekuwa nikidadisi kujua maana halisi ya neno hilo bila mafanikio leo naomba wana JF mnifahamishe maana ya neno udhu katika uislam.
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Nasikia harufu ya chakula inapita puani Nahisi harufi ya wali inapita puani Naskia harufu, hata sijui ni harufu gani? yule jamaa umeme ulimkatikia kwao
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kujua kwa anayefahamu, hivi Nchi za Kiafrika kama Kenya, Uganda, Zambia, Nigeria, Ghana Malawi n.k zinastahili kuitwa kwamba ni nchi zinazoongea Kiingereza (English Speaking Countries)...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau, nimesikia kutoka kwa watu kadhaa na kusoma kwenye vyombo vya habari neno la kiingereza 'FOOD SECURITY' likitafsiriwa kuwa ni USALAMA WA CHAKULA. kwangu mimi hii si maana halisi ya FOOD...
3 Reactions
8 Replies
6K Views
Mediation in swahili tunaitaje
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watalamu wa lugha glasi iliyojaa maji nusu, tunaitamkaje katika lugha ya kingereza?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu naombeni tafisiri ya maneno haya- 1.Tensed" mfano:- He looks very tensed 2. Indulgence Natanguliza shukrani kwenu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
weka mawazo yako ktk haya: aibu ni nini? nini chanzo cha aibu? binadamu anaanza kuwa na aibu wakati gn? ni kweli mtu alierukwa na akili hana aibu? kuna namna yyt ya kumfanya asie na aibu awe na...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kazi kubwa yako jicho, ni ngumu nai-husudu, Nimefanya mchekecho, kwa ufundi na utundu, Naamini nisemacho, kazi yako waimudu, Jicho kazi yako ngumu, Leo nakusema wewe, 2. Huenda ni mpekecho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Kwa wale ambao hawalifahamu hili ni kwamba kuna mkutano ambao umekuwa maarufu sana duniani unaitwa TED(TED: Ideas worth spreading), mkutano huu unakusanya wataalamu wa kada...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Helloooo nini maana ya haramu?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wakuu naomba msaada wa tafisiri ya maneno haya kwa kiswahili 1.Rhetoric- 2.Tramatize- Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
maana yake nini? uwa najiuliza sipati jibu.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
kumekuwa na matumizi mabaya Sana ya hili neno "toka" hasa pale linapomuashiria mtu ahame ndani aende nje, unakuta mtu yupo ndani alafu anaambiwa "toka nje" ikimaanisha atoke ndani na aende nje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…