Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Ambassador of house ten ten!
1 Reactions
19 Replies
13K Views
Msaada jamani
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Kiingereza gani ni sahihi zaidi kuuliza 'Rais atakaye kuja ni wa awamu ya ngapi?'
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiangalia katika nchi za Afrika ya mashariki ni Tanzania pekeyake mtu anayeongea english uitwa msomi. Hii inapelekea watu kuanza kuchanganya lugha anapoongea ili haonekane msomi. Ukienda...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Nelidaiye isanga langu tanzania.....isanga ijenye lejaiye vakea...,vakea vajenye verindwa ni MFUMWA...HEllow ..hellow tz...hellow hellow lukundo lwa ukweri....oka mzalendo.....KUNDA ISANGA LAKO...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tujikumbushe kuhusu "tongue twisters" kwenye lugha ya Kiswahili. Hivi kuna neno la kiswahili la haya maneno "tongue twister" Nakumbuka tongue twister moja ni hii: WANAWALI WALE WA LIWALI...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Naomba mwenye beti zote za wimbo wa halaiki audondoshe hapa.nauhitaji tafadhali wadau.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu na wataalam wa lugha yetu ipi ni kauli sahihi inyapaswa kutumiwa kati ya hizo mbili, mara nyingi nimewasikia viongozi akiwemo waziri wetu mkuu wakipenda sana kuitumia kauli moja kati ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa lugha naomba mnisaidie juu ya neno hili 'worry out' maana naona limeshika kasi sana kwenye mazungumzo na maandishi yasiyo rasmi(informal writings). Nashindwa kuelewa kama ni sahihi ama si...
0 Reactions
6 Replies
17K Views
Neno Washenzi asili yake haswa lilikuwa likimaanisha watu wote wanaotoka Bara yaani katikati ya Ziwa Tanganyika na ukanda wa Pwani, kwa maana wakati huo walikuwa hawajastaarabika na hivyo Watu wa...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Jamani, naomba kujua maana ya waraga.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau naomba kufahamishwa maana ya neno 'exclusive' kwa kiswahili. Nimeangalia kwenye kamusi lakini sijapata maana yake kamili!
0 Reactions
7 Replies
17K Views
Nimekua nikisoma majibu kwa watoa post, "pouwa mzeiya." maana yake nini?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wadau,samahani nimekwama kidogo hapa nahitaji kujua "shamba la mfano" kwa kiingereza litaiwaje.Niko nafanya kazi ya mtu hapa sasa mimi mwenyewe natakiwa niwe dictionary ya swahili tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa anayefahamu jina hasa la mtoto wa mbuzi kwa kiswahili anifahamishe.
0 Reactions
22 Replies
55K Views
Hello wadau, Naomba mnisaidie maana ya neno 'LIWA' ni chemical au mmea au kitu gani, Nitashukuru kwa msaada wenu. Joack
0 Reactions
9 Replies
3K Views
1. Kudumbukia 2. Kutumbukia Lipi neno sahihi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rejea hapo juu hili neno linatamkwaje ? Je ni Wawi, Wawe.. au ?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie maana za maneno haya: 1. Wamsha kinehe 2. Duhu 3. Sanzi Ikibidi mniongezee mengine kwani nataka kuoa kwenu.
0 Reactions
192 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…