Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa.
ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda"
ama...
Hii ni Aburani na ahadi Iliyowekwa Siku za Nyuma na Umoja wa Mataifa, Kuwa Kutakuwa na Siku Maalumu ya Kusheherekea Lugha ya Kiswahili Duniani Kila Mwaka.
Hii ni Abra nzuri kwa sisi wazungumzao...
Gazeti La Dunia
Matumizi sahihi ya lugha na upeo wa fikra
Ahmed Rajab
Ahmed Rajab
Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab, akizungumza kwenye Baraza la House of Lords jijini London Julai 5, 2023...
BARUA YA WAZI
1 Nawasalimu kwa jina, jinale la jamhuri
Kwako wewe kamishina, uigongae mihuri
Wasimamizi wa shina, msome pasi kiburi
Hii barua ya wazi, kwenu nyinyi viongozi
2 Upapo mwingi uhaba...
Nawasalim nyote. Pokeeni Salam.
Naona vyema tuwe na uzi mmoja maalum wa ngeli. Naomba usaidizi wa ngeli sahihi ya maneno haya.
Kifaranga/Vifaranga - ( naona watu wengi hutumia ki-vi ambapo...
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah amewataka Wahariri kushirikiana na mabaraza ya Kiswahili ya BAKITA na BAKIZA ili kuendeleza lugha ya...
Tangu nimerudi nchini nimekuwa nikipata tabu sana kutambua yupi anastahili shikamoo na yupi hastahili, kuna nalingana nao umri ila wana maumbo makubwa hivyo najikuta nikiwapa shikamoo na...
Matumizi sahihi ya maneno haya kwa kweli huwa yananitatiza sana? Huwa napata shida sana kujua ni wakati gani wa kutumia kwa mfano neno "Kwenye " au wa kutumia neno "Katika" kwenye kuongea au...
Nini maana sahihi ya maneno haya
Kwa ninavyofahamu mimi,, tovuti ni internet wakati wavuti ni website
Karibu utwambie unavyoelewa wewe.
Ikumbukwe kuwa internet sio mtandao, mtandao ni network...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan ambapo wamejadili namna bora ya Tanzania na Urusi...
One day I saw someone I thought I’d never see
He was sagging with smell of marijuana coming from his mouth
And the way he talked you could tell he was from the south
Just standing there staring...
Msiba msibani
1 Utaona ni rahisi, kama haijakupata
Na vingi utavihisi, hadi utapojipata
Utalia na kamasi, msaada hutapata
Ukiupata msiba, ni msiba msibani
2 Maumivu ni makali, na kufa...