Dear all,
As per title above, I have published a new edition for English grammar titled "COMMUNICATION SKILLS FOR FLUENT ENGLISH". This book suits all english learners and beginners of all...
Hello JF members,I am not sure if I'm in the right forum but anyway I'm gonna go ahead and post this poem,the title is I Cry,written by Tupac Shakur.
I Cry
Sometimes when I'm alone
I Cry...
I never heard this before:
Thank you so very much.
But I have heard:
Thank you very much.
Thank you so much.
Is it okay to use two intensifiers - so and very?
Kiswahili ni lugha fasaha na rahisi sana kwa mwenye kutaka kuielewa; nimeombwa niwaulize wajuvi waliobobea kwenye lugha hii mambo hayo
1. Zinaa
2. Mzinifu
Je ni sifa zipi unapaswa uwe nazo ili...
Hi all,
Some members have expressed their interest in learning French. Inspired by Faiza Foxy interactive Arabic class and encouraged by AshaDii, Mtambuzi, Azimio Jipya and other members, I said...
Ukitoka nje unaingia ndani..ie ndani ya nyumba,ofisi,zizi,uwanja etc
ukitoka ndani ya hizo sehemu wanasema unatoka nje,why not umetoka ndani unaingia nje? Wakati umetoka ndani?
nisaidieni wakuu
Thi jf.is collectivize for all of peoples in the world .1. ........2.because of negotiation difference thinks ..,..,,......,...3.it is necessary to be rapture.........,.,..., nipe kwa swahili...
Nini maana halisi ya neno "choo"?
Hospitali ukiagizwa choo unapeleka kinyesi. Hii sawa.
Sehemu watu wanakwenda haja pia panaitwa choo. Na hii ni sahihi.
Je, wadau, "choo" nini? Ni kinyesi...
Hayawi hayawi sasa yanakuwa,
Kile kilio cha wazalendo na waaminio katika lugha yao sasa kinaonyesha kuchanua, baada ya serikali kuridhia mswaada wa uanzishwaji wa Itifaki ya Kamisheni ya...
Sidhani kama ukienda Uingereza utakuta radio zao zina majina ya Kiswahili lakini sisi kwa kuanzia hawa Clouds FM, Capital FM, Radio Free Africa, Voice of Tabora na kadhalika, sasa ukitaka...
1.alikwenda kwa mjomba
2.ninakula kwa kijiko
3.amefungwa kwa wizi wa baiskeli
4.anakwenda shuleni kwa miguu
5.amenunua vitabu kwa bei ya juu
(msada tafadhali)
Hebu tujikumbushe maneno ya kiswahili ambayo kwa sasa aidha yamesahaulika au yanatumika kwa nadara sana.
Jokofu = Friji
Sigiri = Jiko la Mkaa
Kishida = Underskirt,
Msusa = Majani ya Maboga...
Tangu nilipokuwa shule, mara ya kwanza kusikia msemo Aliye juu mngoje chini nilitatizika sana.
Sikuelewa mtunzi wa msemo huu alikuwa na kinyongo, wivu au kukata tamaa.
Hata hivyo niliishia kuamini...
Kama nchi inahitaji wataalamu wa lugha ya kiingereza basi msisitizo uwekwe kwenye kiingereza lakini kama nchi inahitaji wataalamu wenye ujuzi juu ya fani na taaluma mbalimbali zenye tija kwa...