Nimekuwa nikisikia sana huu msamiati, kwangu ninachoelewa ni kuwa ni ndoto za kutisha.
Kuna maana nyingine nje ya hapo au ni tofauti na ndoto au ni dubwana linalosababisha kitu kwenye ulimwengu...
Kula ilonona
Niliyowaza ni mengi, hadi kuandika hili
Ni usia wa mvungi, aliompa Sadali
Wa kilemba au shungi, kila mtu yake hali
Kama wataka haramu, basi kula ilonona
Usifanye kwa kuiga, kuona...
Sina wivu na wewe, kwani huyu ni mkeo
Ananifwata mwenyewe, toka kale sio leo
Natamani uelewe, kisha uwe na upeo
Mkeo kaanza kwangu, na mimi ndio wa mwanzo.
Mimi sinayo makosa, japo siyatendi mema...
Muishi milele wadau wa jf
Naomba kufahamishwa maana za maneno haya kama yanavyotumika katika dini yakiislamu;
- Juzuu
- Kuran
- Msaafu
- Ulamaa
Karibuni
Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.
Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika...
NAJIPA MOYO.
Matatizo niliyo nayo, kuyabeba ni michosho
Lakini hali iwayo, naloa maji ya jasho
Bado ninajipa moyo, kuwa nitapata kesho.
Ninapotazama mbele, giza nene naliona
Lini nitafika kule...
Natumai nyote muwazima wa afya ya akili na mwili. Leo napenda kuweka sawa matumizi sahihi ya majina haya haya ambayo yamekuwa yakitumika visivyo kuwakilisha rika na jinsia ya kundi husika la watu...
Ni mtu anayefurahia mateso ya wengine mfano
Akiona unapata mshahara milioni mbili anataka upungue upate milioni moja.
Akiona watoto wako wana amani na furaha anataka kukufukuza kazi ili dunia...
Unakutana na mwanamke au mwanaume amevaa kapendeza ananukia marashi kwa mtazamo unakubali kuwa ni full package.
Shida inaanza pale anapoongea unakuta na ile lafudhi yenyewe ya kikabila mpaka...
Mzungu mmoja aliwahi kunikebehi akasema sisi Waafrika kwy Kiswahili tunamuita mtu toka nchi za Magharibi Mzungu, akaniambia ebu sasa ondoa herufi z kwenye neno Mzungu alafu ulisome.
Akajinasibu...
Kingereza kinafundishwa kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu, kwanini watanzania watafasiliwe Kiingereza kwenye mikutano yetu na wageni? Hii ni aibu kubwa kwa taifa, elimu yetu na hata Chama...
Hapa nimejitahidi kuandika baadhi ya maneno ambayo Lugha ya Kiswahili imeyatohowa na kuyatia kwenye msamihati wake.
Mnakaribishwa kuchangia maneno mengine ambayo, hapa hayapo, si lazima yawe...
Kwa mfano nimepigiwa na rafiki yangu nataka kumueleza nipo kwenye basi kwa kingereza ipi ni sentencing sahihi kati ya hizi.
Which is correct, “I am in the bus” or “I am on the bus”?
WAJA
Dawa ya kipwepwe nini,
Siyo maji na sabuni?
Basi jipu tumbueni,
Mnayemhofu nani?
Mtachopoteza nini?
Mkidai kwani shani!
Kuna nini utaani,
Hadi muogope nari?
Ona mwafanyiwa ndaro,
Muishipo...
Salaam ndugu zangu,
Kiswahili ni miongoni mwa lugha zinazokua kwa kasi kwa sasa ulimwenguni. Lugha hii inazidi kusambaa Kijiografia pamoja na kuongeza idadi ya wazungumzaji kila kukicha.
Pamoja...