Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kabila la kichaga limagawanyika maeneo mangapi, je lugha ya kichaga imegawika maeneo mangapi ?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jamvi tusaidiane LUGHA MAMA(lugha ya kikabila) inaathiri vipi maendeleo ya mwanafunzi kujifunza?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Samahani kwa usumbufu wakubwa naomba kujua kwa lugha ya kingereza ghorofa linaitwaje?
1 Reactions
37 Replies
20K Views
Alama za wanafiki, ni tatu bora uzijue Katu nae haaminiki, japo ahadi azitoe Pia na hasadikiki, hatumizi maaganoe Alama yake ya pili...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Alifu hapa naanza, kwa kumuomba Manani, Ni Yeye ndio Muweza, kila kitu duniani, Hakuna Wakumweza, kwa hilo ninaamini, Tenda wema usahau, usingoje shukurani. Tenda wema wende zako, usingoje...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa watu ninaokwazwa sana na tabia ya rais Kikwete kuchanganya kiingereza anapoongea kiswahili kwenye hadhila mfano mzuri ni juzi kwenye mambo ya mitaa.Ninakwazwa kwa sababu nyingi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Haya ni maneno ya dada mmoja sasa hivi LIVE kwenye TV. Ila siyo Tanzania maana nilikuwa naangalia kwa kutumia KARAI. Hiki KIZAZI kipya kwa kweli KINACHEMSHA SANA. Mtoto ataamkaje AMEKUFA?????
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wanaojifunza lugha ngeni, mf. Kiingereza, kwa vyovyote vile hawewezi kuimudi iwapo hawatafanya mambo yafuatayo: kusikiliza, kuongea, kusoma, na kuiandika kwa lugha hiyo ngeni. hii ni kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ni mtu yupi maaruf hupeleka burudani ulimwenguni kote kila aendapo iwe nyuma ama mbele ni yule yule
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jamvi la lugha,kuna kitu nimekiona kwa mtu mmoja akitafuta kazi na ningependa kushare. Katika kuandika barua ya kuomba kazi kwa kiingereza ni tatizo kwa wengi,baadhi ya mapungufu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Naona hili neno limeshika kasi sana karibuni kwamba huenda lilitoholewa vibaya hapo kabla, kumaanisha kufanya mapenzi ilihali maana halisi ni kujumuika pamoja (Ku-socialize)
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Kuna haja gani ya kusimuliwa jambo? nasema hivi kwani bila shaka itatubidi tufahamu kila tunachosimuliwa ili twende pamoja.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam JF members. Naomba msaada wa "direct translation" from Kiswahili to English ya hii sentensi. "BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?" Natanguliza shukrani kwa yeyote atakayejalibu.
0 Reactions
35 Replies
4K Views
whn I Was A Young Boy I Used 2 Hear Dat English Is One Among The Simplest Languages In The World.i Ve Seriously Started Learning It,I Don See Its Simplicity At All. For Instance,there Is A Very...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani nimepata nafasi ya kwenda kusoma msumbiji sasa kabla sijaenda ningependa kujifunza kireno ambacho ndo lugha yao,JE NI WAPI NAWEZA NIKAJIFUNZA KIRENO KWA HAPA DAR..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
brand (inayotokana na employment brand) - analysis - engagement (katika kazi) - shukrani waswahili wenzangu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ipi ni sahihi Kati ya wavuti na tovuti?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo kila kitu kinachukuliwa na kupelekwa kisiasa kama tu kitakuwa kinawanufaisha Watawala. Tanzania ni nchi pekee ambapo Polisi nao eti wanaitwa "JESHI" na hiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je kwenye kifo,ni watu gani wanastahili kuitwa hayati na sio marehemu,,,wanaangalia vigezo gani? Namna huyo mhusika alikufa nayo inazingatiwa katika kuitwa hayati au marehemu? Kama vile labda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I need to know the meaning of this phrase and how it is used!
1 Reactions
1 Replies
993 Views
Back
Top Bottom