For and Since for Time We often use for and since when talking about time.
for + period
A period is a duration of time, for example: 5 minutes, 2 weeks, 6 years. For means "from the beginning of...
Naomba nisizunguke sana waungwana, kuna jamaa zangu wamepata wagen kutoka kule wabongo wenzetu walipoficha Fedha na wameamua wajifunze kiswahili kwa huu muda wataokuwa nchini. Sasa kuna maneno...
Inasemekana kwamba kwa mwanamke wa kiswahili (sijui wa kidhungu)......
Mchana Ukimwambia kaa vizuri...anabana miguu
Usiku ukimwambia kaa vizuri...anapanua miguu
Je Kuna ukweli wowote?
Tangu kuanzishwa kwake, nimekuwa mfuasi mzuri wa kipindi cha MKASI kinachorushwa na kituo cha East Africa TV. Jumatatu akiwa anamhoji msanii Diamond, Salama Jabir alimuuliza msanii huyo, KWA MARA...
Ndugu...
Please tufungie hiyo video ya You-tube kisha tujadili...je, huu ni mnazi mkinda kweli au ni tamathali ya semi imetumika?
Najua wengine hawafahamu nini mnazi mkinda wala ni nini...
Habari wanajamvi wa lugha,nimekumbuka wakati niko o-level nasoma mwalimu wa Biology katika topic ya classidication(kwa walio soma Biology wanafahamu) alikuwa akiandika phyla,sometimes phylum.Mi...
Habari ndugu zangu,jamani nataka kuongeza uwezo wangu wa kuongea kiingereza,nahitaji kujua kama kuna english club hapa dar ili nijiunge,na naomba technique za kuongeza uwezo wa kuongea,maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.