Wadau nimekuwa nikilisikia kwa muda mrefu kidogo neno 'fedha haramu' na mara nyingine 'biashara ya fedha haramu'.
Tafadhali mnisaidiwe kuelewa maana ya hayo maneno.
Natanguliza shukrani
Can a life pass before yourself?
Sometimes a hope isn't anything,
just like night and day.
Can my heart fall for someone more? Life is something that no one understands. Just like punishments and...
Jaman tusaidiane, mpaka leo bado kuna baadhi ya sehemu tunachanganya matumizi ya a and the, so i would like you guys to tell me the proper use of a and the, where do we use a and where do we use...
Elimu haina mwisho na no one knows everything.Samahani wadau naomba maelezo kuhusu matumizi ya maneno haya hasa maofisini.You are accountable,you are responsible,you will be held accountable...
Katika gazeti la RAI la Jana (09/08/2012) katika maoni kulikuwa na misamiati mipya ya kiswahili. Misamiati hiyo ni:
ICU (intesive care unit) = SADARUKI.
Serikali ya Mseto (coalition government) =...
Gaidi Mtaani, or "Terrorist on the Street" in Swahili, was introduced in April and has published two issues in Swahili and English. The magazine's editorial says it drew inspiration from Inspire...
1.kG itakuwa ni suruhisho lamatatizo
2.comment za kutaka afanye nini kitoe
3. we want maendeleo, bado tunapiga mark time mr president
4.mi napinga sie kunufaika na vijiasilimia vilivokuwepo 10%
5...
Mtu asiyefunga mwezi wa Ramadhan huitwa KOBE. Swali: nini asili ya jina hili? Kuna uhusiano gani kati ya asiyefunga na mnyama kobe? Kwa nini asingeitwa NGURUWE kabisa kwasababu mnyama huyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.