Kwa wanaojifunza lugha ngeni, mf. Kiingereza, kwa vyovyote vile hawewezi kuimudi iwapo hawatafanya mambo yafuatayo: kusikiliza, kuongea, kusoma, na kuiandika kwa lugha hiyo ngeni. hii ni kwa...
Kuna mdogo ameniuliza maswali nami yamenipiga chenga,
1. neno gani la kiswahili lina maana sawa na neno kibogoyo ?
2 panga neno lifuatalo lillete maana ya kiswahili " RAHASIHI "
Natanguliza...
Wana JF,
Nimekuwa niliyasikia maneno haya mara kwa mara yakitumika.
naomba maana yake.
Maneno yenyewe ni kama ifuatavyo:-
Zingua
Mzuka
Swaga
Gozi-gozi
Asenteni sana wana JF.
Wana jamiii na wajuzi wa lugha mnisaidie kujua kama hilo neno kinyemela ni kiswahili sanifu. Nimemsikia naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo akiwaasa wakuu wa vyuo vya ualimu wanaodahil...
Kwa heshima na imani kubwa sana ambayo ninayo naomba mnisaidie maana ya maneno yafuatayo na tofauti zake 1. NDOTO 2.MAONO maana yananitatiza saaana pia nawaomba mnielezee Maana halisi ya CHOTARA...
Asanteni wote mlionisaidia na mtaoendelea kunisaidia kuelewa lugha ya Kiswahili. Naomba mjue kuwa ninazo kamusi lakini mara kwa mara utakuta kuna maneno hayapo...au labda tatizo langu sio...
Hi jf members
naomba kufahamu matumizi ya miundo ifuatayo:
-so as.....
-so that..,
-notwithunderstanding.....
-nevertheless..,
-no matter...,
-such as...,
Nawasilisha.
Wanajamvi habari zenu,nimekuwa mdau wa kuchukua yale yanijengayo katika pilika zangu za kielimu na leo naombeni msaada kwa hili"mother tongue is not necessary a mother's tongue justify. Naombeni...
Habar wadau mimimni mwanafunzi na napenda kuwa mwalimu hapo baadae ila nashindwa kutofautisha katika matamshi r na l pia the na ze je naweza kubadilika na je ni kwa kufanyaje natanguliza shukran zangu
Habar wana JF hususan wa jukwaa hili la lugha!
Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mwalimu (kituo kizuri) mzuri wa lugha ya kiingereza na nilipata kumsikia jamaa anayeitwa RAS SIMBA,naomba kuuliza...
Imekuwa ikinisikitisha, mara nyingi, kila nisomapo mada mbalimbali hapa, JF. Kuhusiana na matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili, neno kama UDHIBITISHO, inaandikwa USIBITISHO, neno NAAMINI...
Hili neno linasumbua wengi (wengine wameishia kuita hivyo hivyo, wengine huita vijiti vya meno na wengine huita kichokonoo hasa kule Zbar) lakini naomba kushirikisha hapa kwamba maana yake ni...
Most people would think the most difficult part when learning English language is the grammar, which in its own right, it is true.
Yet another part that is interesting, and funny too, is the way...
Habari wana jamvi la lugha,kuna kitu napenda kushea kuhusu matumizi ya ON na In unapotaja tarehe.I may not be that much good in explaining but worry not because the concept will not be distorted...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.