Alifu hapa naanza, kwa kumuomba Manani,
Ni Yeye ndio Muweza, kila kitu duniani,
Hakuna Wakumweza, kwa hilo ninaamini,
Tenda wema usahau, usingoje shukurani.
Tenda wema wende zako, usingoje...
Mimi ni mmoja wa watu ninaokwazwa sana na tabia ya rais Kikwete kuchanganya kiingereza anapoongea kiswahili kwenye hadhila mfano mzuri ni juzi kwenye mambo ya mitaa.Ninakwazwa kwa sababu nyingi...
Haya ni maneno ya dada mmoja sasa hivi LIVE kwenye TV.
Ila siyo Tanzania maana nilikuwa naangalia kwa kutumia KARAI.
Hiki KIZAZI kipya kwa kweli KINACHEMSHA SANA.
Mtoto ataamkaje AMEKUFA?????
Kwa wanaojifunza lugha ngeni, mf. Kiingereza, kwa vyovyote vile hawewezi kuimudi iwapo hawatafanya mambo yafuatayo: kusikiliza, kuongea, kusoma, na kuiandika kwa lugha hiyo ngeni. hii ni kwa...
Habari wana jamvi la lugha,kuna kitu nimekiona kwa mtu mmoja akitafuta kazi na ningependa kushare.
Katika kuandika barua ya kuomba kazi kwa kiingereza ni tatizo kwa wengi,baadhi ya mapungufu...
Wakuu
Naona hili neno limeshika kasi sana karibuni kwamba huenda lilitoholewa vibaya hapo kabla, kumaanisha kufanya mapenzi ilihali maana halisi ni kujumuika pamoja (Ku-socialize)
Wasalaam JF members.
Naomba msaada wa "direct translation" from Kiswahili to English ya hii sentensi.
"BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"
Natanguliza shukrani kwa yeyote atakayejalibu.
whn I Was A Young Boy I Used 2 Hear Dat English Is One Among The Simplest Languages In The World.i Ve Seriously Started Learning It,I Don See Its Simplicity At All. For Instance,there Is A Very...
jamani nimepata nafasi ya kwenda kusoma msumbiji sasa kabla sijaenda ningependa kujifunza kireno ambacho ndo lugha yao,JE NI WAPI NAWEZA NIKAJIFUNZA KIRENO KWA HAPA DAR..
Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo kila kitu kinachukuliwa na kupelekwa kisiasa kama tu kitakuwa kinawanufaisha Watawala.
Tanzania ni nchi pekee ambapo Polisi nao eti wanaitwa "JESHI" na hiyo...
Je kwenye kifo,ni watu gani wanastahili kuitwa hayati na sio marehemu,,,wanaangalia vigezo gani? Namna huyo mhusika alikufa nayo inazingatiwa katika kuitwa hayati au marehemu? Kama vile labda...