Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa mti unaozaa machungwa unaitwa mchungwa na mti unaozaa maembe unaitwa mwembe(muembe) lakini mti unaozaa ndizi unaitwa mgomba kwa sababu ukipanda ndizi hautaota...
Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F.
MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE
1.University kwa Kiswahili ni nini?
2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili?
Lahaja ya Kiunguja ndiyo ilo sanifishwa kuunnda Kiswahili kulingana na historia yake.Kulikuwepo na lahaja nyingine nyingi ikiwemo;Kimvita,Kijomvu,Kimtangata n.k.Ni sababu zipi hasa zilizochangia...
Bunge letu la Leo.
Kuna Mbunge amewaasi mawaziri wa maji wakazane, wabunge wengine wakaguna.
This is really low for someone sitting in a parliamentary house to interpenetrate things in a street...
Wakuu naomba mnisaidie hivi unaweza ukaishi UK kwa miaka zaidi ya mitano na ukawa haujui Kiingereza? Maana jana kuna jamaa yangu anaishi UK-Liverpool amekuja likizo sasa nikakaa naye akatokea...
je hiki ni kiswahili sanifu??????unaenda kumuulizia fulani halafu unamkosa. unamwambia mwingine ''nimemkuta hayupo''.naendaga, namwonaga, simpendagi.sufuria au sifuria????tiyari au tayari????
:israel:Watu wote macho yote yako kwako,
Umeutangaziya umma kuwa wewe,
Ati, nawe ni msomi wa vidato hasa.
Yako nafasi uitumiye macho yaonayo,
Yatazama mwenendo ulivyo wewe,
Matunda utayaona nawe...
wadau naomba mnisaidie kuhusu haya maneno ya kiswahili, ""ahsante kushukuru...!!"" hivi kwa kiingereza tunaweza kuyawekaje....????
Au ndo tutasema "thank you to thank.....!!""