Wakuu heshima mbele.
Naomba kutofautishiwa/namna ya matumizi ya haya maneno mawili.
1. I would LOVE........
2. I would LIKE.........
Natanguliza Shukrani.
Katika njanja za planning wengi tunakutana na kifupisho hiki maarufu cha SWOT ikiwa na maana ya Strength, Weakness, Opportunity na Threat.
Sasa kwa lugha yetu kipenzi tunasemaje?
Wengi wamejaribu...
Wataalamu wa lugha ya kiswahili naombeni mnisaidie. Kuna baadhi ya m,aneno katika lgha ya yanapotamkwa mzungumzaji hutakiwa kuanza na ashakum, hasa kwa maneno ambayo yanaweza kudhaniwa kuwa ni...
wakuu mimi ni mhitimu wa chuo kikuu. Naweza kuandika vizuri hii lugha, ila shida inakuja kwenye kuongea...ni aibu kwangu na nimekosa kazi kama mbili kwa kushndwa kujieleza ipasavyo. Je inawezekana...
Kwanini zinaitwa pembe za ndovu na sio za tembo? Ndovu ni nini? Kama ndovu ndo pembe, kwanini hawasemagi amekamatwa na ndovu tu bila kusema "pembe" za ndovu? What if yale ni meno?
Embu tujaribu kuzi'mordenize' kidogo ziendane na maisha ya kileo.
. . . Lisemwalo lipo kama halipo . . . HALIPO.
. . . Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu, lakini hakosi KUJINASUA.
. . . Pole...
Wanabodi,
Leo nimeshuhudia jambo kubwa la kuitukuza lugha yetu adhimu ya Kiswahili, pale Balozi wa Korea hapa nchini, H.E Young Ho Kim, alipopanda jukwaani na kuhutubia kwa lugha ya Kiswahili...
Nilimsikiliza Nape jana wakati akipokea maandamano ya wanafunzai wapenzi wa Gamba kwamba Rais ndiye mfanyaji, sikujua anamaanisha nini au huenda alijifanyisha kusema vile?