Lugha ya kiswahili ilianza takriban miaka 800-1000 iliyopita,Kiswahili ni sarufi na msamiati wa Kibantu pamoja na maneno mengi ya Kiarabu. zaidi ya theluthi moja ya maneno ya Kiswahili yana...
Kuna siku nilikuwa na rafiki zangu wawili kutoka Kanada. Mmoja ameshawahi kuja Tanzania mara nyingi sana hivyo anaifahamu hii nchi na mwingine ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza. Sasa katika...
Yamesemwa ndani ya kongamano linalofanyika chuo kikuu cha Dar es salaam..
Mtoa mada mzee abdulatiful abdala kutoka kenya..alisema eti Kenya sasa imefika mbali kuliko Tanzania katika nyanja za...
Kuna matangazo ya kili music awards..watangazaji wanasema tuzo za kili wakati wengine wanasema tunzo.
Hii imezua mjadala na ubishano usio kifani na wenye mashiko baina ya mimi na wana familia...
Enyi wataalam wa Kiswahili. Naomba msaada wa hili neno: Noma. Najua maana yake lakini hapa JF neno hili huandikwa kwa spelling tatu tofauti kama: 1. noma 2.nouma 3noumer Mimi najua spelling namba...
Ukitazama kamuzi ya Kiswahili Sanifu, kwa kweli uwingi wa neno CHERAHANI ni MAREHANI na siyo VYERAHANI. Mpo hapo Waungwana! Pia kamusi hiyo ya Kiswahili Sanifu ya TUKI 1981, inafafanua kuwa...
Wanajamvi naomba kuuliza haya yanayojitokeza siku hizi kwa wingi katika kuandika na hata kutamka maneno ya kiswahili na kingereza kwa kubadili l na r. Hii inasababisha kubadili maana hasa ya...
Nilikuwa kwenye daladala Ubungo Posta kuna mama mmoja mjamzito ana muomba konda
Yule mama alisikika..Gari limejaa ondoeni gari joto limezidi
Konda..inayo jaa chupa ya bia mama wala sio gari alafu...