Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kiswahili kina ugumu wake. Nashindwa kutofautisha kati ya "Ona", "tazama" na "angalia". Je, ni wakati gani natakiwa nitumie neno lipi katika matumizi sahihi ya kiswahili? Naomba kujua matumizi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamii forums Leo naomba kuelekezwa maana ya neno NDWELE maana tunasema yaliyopita si NDWELE tugange yajayo sasa nini maana ya NDWELE maana ninalisikia kwenye huu msemo tu ila...
0 Reactions
9 Replies
15K Views
7 OF THE EASIEST FOREIGN LANGUAGES TO LEARN 1. Spanish Speaking: Very Easy Grammar: Very Easy Writing: Easy Overall: Very Easy As English speakers, we can be thankful that Spanish...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Kikawaida hakuna mtu anayependa kujifunza lugha ya maskini au utamaduni wake isipokuwa tu labda kwa sababu za kiutafiti na kiakademia. Hata masIkini mwenyewe huionea aibu lugha yake na utamaduni...
0 Reactions
3 Replies
409 Views
Na: SHAABAN ROBERT (1909-1962) 1.Ujana kitu kitamu, tena ni azizi sana, Maungoni mwangu humu, nilikuwa nao jana, Kwa wingi katika damu, tahamaki leo sina, Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana...
2 Reactions
3 Replies
837 Views
Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi. Habari inaandikwa paragraph nzima mistari kumi no mkato no nukta. Je, changamoto ni wazazi...
0 Reactions
13 Replies
504 Views
Je, ni jopo la watu hukaa kama mitihani ya NECTA? Au ni mtu anajifungia geto anaanza kuasembo maneno alfabetikali na kuanza kuyadifaini.
0 Reactions
1 Replies
287 Views
ENGLISH TUTORIAL Mate, tatizo la kuelewa kuandika na kuongea na lugha ya kingereza ni suala mtumbuka. Wengi wetu hasa tuliopita shule za uswahilini bado lugha yetu haipo sawa. Hivyo basi...
12 Reactions
48 Replies
16K Views
Mitihani ya Lugha inayotolewa na British council huwa ni shi ngapi ? Naitaji ufafanuzi
0 Reactions
1 Replies
356 Views
Mimi nikiwa mmojawapo niliyekuwa na shauku ya kutaka kujifunza hii lugha ya kichina. Niliwandikia UDSM mail, nashukuru wamenijibu mapema jana. Soma zaidi kwa ufafanuzi. Pamoja na Salamu kutoka CI...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau naomba mnisaidie eti embe ng'ong'o kwa kiingereza linaitwaje? Wakuu Jibu Nimelipata linaitwa Ambarella
2 Reactions
64 Replies
24K Views
Kuna huyu bwana mdogo J. Nkumbi nimepata kumfuatilia siku 2 tatu hizi nimefurahishwa sana na maneno yake. Kwa kweli kiswahili ni lugha nguvu kuliko hata kimombo ila huyu bwana mdogo anakipiga...
4 Reactions
14 Replies
8K Views
Naomba msaada wa tafsiri ya haya maneno katika lugha adhimu ya kiswahili. "If you have financial obligations, how will you manage it."
0 Reactions
6 Replies
552 Views
Habari wapendwa anaeweza kunipa methali yenye maana sawa Ukiona zinduna, na ambari iko nyuma anisaidie tafadhali
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu Hili neno maana yake nini? Waislamu hulitumia kuwaita wale wasio waislamu, kama kusema mpagani. Lakini pia huko South Africa wazungu wabaguzi wa rangi huwaita weusi Kafirs, kama vile...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Wapwa, habari za muda huu? Kuna neno 'Onyesha' naona linatumika vibaya na mara nyingi limekuwa likitumika mahali ambapo si mahali pake. Kuna maneno mawili watu tumekuwa tukiyachanganya 'Onesha'...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Waswahili tuna kawaida ya kukazia maneno, hasa kwenye rangi kama ikiwa rangi moja Mfano Nyeupe... Pee!! Nyeusi... Tii!! Sasa je rangi kama Nyekundu???? Njano??? Blue nk. Tunakaziaje?
0 Reactions
15 Replies
742 Views
Sipati picha kama JF wangekuwa wameandika jina lao kama "Jamii Folums" ingekuaje. Au jukwaa hili jina lingeandikwa "Habali na Hoja mchanganyiko sijui ingekaaje hiyo. Inaeleweka kwamba kila mmoja...
24 Reactions
90 Replies
5K Views
Hai.. Mtu anaweza kuelezea hoja yake kwa Kiswahili. Akifika pahala fulani anabadili lugha kuashiria kwamba anapunguza ukali wa neno! Je, neno kali, ni kwanini tunaliita "kali" na bado tunaweza...
0 Reactions
13 Replies
868 Views
Guangzhou! Kwa wataalamu wa lugha adhimu ya kiswahil...Nini maana ya neno Mbwiga?? Nilisikia jana jirani anasema ''Mume wangu alirudi yupo mbwiga" Pia naomba msaada wa maneno haya 1.Monde...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…