Rabbi uloumba mbingu, Ukaumba na dunia
Nasi kwetu walimwengu, Dini ukatushushia
Nini letu fungu, Sisi ulotuwekea
Kutwa kucha twakuasi, Maovi kuyavamia
Tena bila ya kuasi, Mengi tunakusudia...
How Should You Spell Gaddafis Name?
There are almost as many ways to spell Colonel Gaddafis name as there are theories of the former dictators whereabouts. There is no single correct way to...
Difference between COMPLETE & FINISHED
People say there is no difference between COMPLETE & FINISHED.
But there is. When you marry the right one, you are COMPLETE.
And when you marry the wrong...
kiukweli haya maneno yana nichanganya tuna ambiwa kuwa kwa mjina ya kiafrica **** AU MBOO ndio neno sahihi lakini ukitamka mbele za watu unaambia umetukana.Pia kuna neno kama KUTOMBA ni lafudhi za...
Kanumba Steve
THEY ARE VERRY STRONG AND POWERFULL,THEY CONTROL D WORLD THE WAY THEY WANT,THEY R THE PRINCE OF THE WORLD...DO U KNW WHO R THEY?DNT MISS MY NEW MOVIE...''DEVIL KINGDOM''
Ivi...
Jamani enendeni mahakani, mjichekeshe kwa vituko vya huko. Unakuta Hakimu anafurukuta kuandika kwa kutafsiri kwa haraka maneno anayoyatoa shuhuda au hivo kizimbani, haraka haraka kwa...
Binafsi huwa naumia sana na kujiuliza maswali mengi, ukichunguza karibu maeneo yaliyomengi hasa ya kibiashara utakuta huduma husika imetambulishwa kwa kiingereza mbaya zaidi kiingereza chenyewe...
Islamophobia ni ugonjwa hatari sana. Ugonjwa huko siku nyingi sana ila kwa miaka ya hivi karibuni umekuwa ukikua kwa kasi ya ajabu sana. Aliyeathiriwa na ugonjwa huu huwa anaogopa UISLAM na vitu...
Naamini tumekuwa weledi katika historia ya lugha ya kiswahili, Je, nini mchango wa lugha hiyo katika suala la umoja wa kitaifa ? Hususan katika muda wa miaka hamsini ya uhuru wa Watanganyika na...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini hotuba mbalimbali na watu mbalimbali wakiongea, Mfano ni leo bungeni kuna kamjamaa kalikuwa naona kanawasilisha mambo ya utumishi. Sasa hicho kiswahili...
AKIDI: idadi ya watu inayoridhisha kuchukua maamuzi fulani juu ya jambo fulani.
MANIFESTO: Azimio la chama kuelezea msimamo wa chama kuhusu tukio au wazo fulani kulingana na sera au mpango wa...
Kwa mnaofuga mbwa kuna usemi unasema; MBWA UKIMJUA JINA HAKUSUMBUI wengine HAKUPI SHIDA - Ni zipi hasa tabia za mbwa kama unamjua jina? Ina maana ukimuita kwa jina lake hupunguza ukali?
Methali za kiswahili
1. Adhabu ya kaburi aijua maiti, The touture of the grave is only known by the corpse
2. Akiba haiozi, A reserve will not decay
3. Asifuye mvuwa imemnyea...
Habari za asubuhi wanajamii wenzangu,
kuna kitu kinanitatiza kwenye tangazo la bia moja wanaslogan inayosema
"HAINA MAJOTRO"
mimi mpaka leo sijajua maana ya hilo neno,na hata nikiwaeleza watu...