Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
kwa kikwetu....kipare habari tunasema. tha mithii[za siku] wa shithiaje[umelala je].ningependa kujua ki masai habari ya asubui....habari ya mchana na jioni mnasemaje.
0 Reactions
3 Replies
24K Views
Wengine wamekua waki refer Tanzania kama bongo na wengine waki refer Dar ea salaam km bongo, yote kwa yote, ni ipi asili na maana ya neno hili mpaka tukawa na vitu kama Bongo fleva na bongo movie?
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kuziba mapungufu ya ''IKAMA'' linamaana gani hili neno mwenye uelewa kuhusu hilo neno alilotamka afande CDF? Ili tujue Ikama ni nini?
1 Reactions
8 Replies
8K Views
habarini! Kwa mnafahamu kimakonde naomba kuambiwa maana ya maneno hayo mawili. Mara ya kwanza nimeyasikia kutoka kwa mtaalamu Tongolanga kupitia wimbo wake wa 'baba na mama' na hivi sasa maneno...
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:- 1. Kipaji 2. Kipawa 3. Karama Natanguliza shukrani.
1 Reactions
6 Replies
10K Views
Hamjambo? Naomba tafsiri ya 'Social Enterprise' kwa Kiswahili fasaha.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari Dira ya dunia BBC jioni ya tarehe 15/11/2021 mwadishi wa habari kutoka Kenya amesema watu kadha WAMEHEPA kutoka gereza fulani,Bakita mtusaidie
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Na nitasimama tena, si ndotoni hadharani Na mtaniona mchana, sio usiku gizani Mtaona ninayonena, kutoka kwangu kinywani Na nitasimama tena, si ndotoni hadharani Kwa akili nayasema, sijawa...
1 Reactions
1 Replies
836 Views
Haya ni baadhi ya yaliyosikika mwaka huu Kimeumana Kupigwa na kitu kizito Kuupiga mwingi Utajua hujui Mbususu Mwendazake Pira biriani .......
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana Jukwaa, Wiki hi kuna neno limekuwa likitumika sana na chombo Kimoja Cha Habari (Swahili Times), "Mwendazake" sielwagi wanamaanisha Nini Mwanajukwaa yoyote naomba anisaidie.
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Nimekuwa nikifuatilia kesi ya Ndugu Mbowe na wenzake lakini mara nyingi Mawakili wa Serikali wakitaka kupinga hoja za Mawakili wa utetezi utasikia wakisema kuwa hoja hii HAINA MASHIKO. Sasa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kama kuna mtu anamfahamu mtu au mwalimu anayeweza nifundisha lugha ya kidutch please naomba mnisaidie mawasiliano au hata sehemu alipo. Asanteni.
1 Reactions
3 Replies
879 Views
Hakuna kitu nachokichukia na kinachonikera kama kusikia kuna watu wana amini kuwa eti Ushairi umeendelea kwa sababu ya waarabu na wengine kwenda mbali zaidi na kusema Kiswahili ni kiarabu na...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Neno Stationery huwa mara nyingi huandikwa Stationary. Sehemu nyingi ilipo Stationery inaandikwa stationary. Maana; Stationery-duka la vifaa vya shule na elimu. Stationary-kusimama au kubaki pale...
8 Reactions
16 Replies
3K Views
Nakumbuka miaka ya 80s - 90s wakati nakua nlikuta maneno ya zamani baadhi ni kama kuita Polisi, Mamwela au Manjagu na Mapongo sasa hv tunawaita Tigo au....Wanawake zamani tuliwaita Ngaya. Kufanya...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Hata mimi wakitamka neno "KANDA SIELEWI" huwa nini maana yake!? Tuwaandalie!
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Hili tunda linaitwaje kwa Kiswahili? Je? Linapatikana Tanzania. Kwa waliowahi kutumia hili tunda, lina ladha na harufu ya namna gani. Lina virutubisho gani au madhara gani?
1 Reactions
11 Replies
4K Views
I am looking for a "FLUENT ENGLISH SPEAKING PARTNER(S) " Hello forum members, I hope you are doing great and those going through various challenges the Almighty God shall grant you strength...
4 Reactions
71 Replies
9K Views
Nipo nasoma sheria zenu, Penal Code (2019) inakosa kidogo kwenye kiingereza limetumia neno 'Parson' badala ya 'Person' katika Ibara ya 176 Neno person ni tofauti na Parson
0 Reactions
1 Replies
703 Views
Wapare: Thubu(supu) Wanyakyusa: Kikombe kya kyai kya kyuma Wahaya: Unangangania, nk
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…