Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wakuu naomba maana ya maneno haya! 1.Kuoa 2.kuolewa 3.kuoana Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Hili neno " Magabachori" lilitumiwa sana mchungaji Mtikila RIP wakati anagombea ubunge Ludewa kwa tiketi ya Chadema baada ya kifo cha Kolimba. Gabachori ni nani? Maulid mubarak!
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Nini chimbuko la maneno haya mawili: 1. Tafsiri 2. Mawasiliano Kwa wataalamu wa kiswahili
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Naombeni mnifundishe maana na matumizi kwa kupatiwa sentensi ya neno muktadha
0 Reactions
4 Replies
902 Views
Baada kuishi sehemu tofauti kuna lugha kama code ambazo kama ufahamu basi kazi bure. Lugha hizi mfano Kariakoo :- *kimeo - neno hili linatumika pale kama kitu kibovu au jambo baya au...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu mambo zenu , hili neno la kunyanduana naona linatumika sana ktk social network ,sasa binafsi sijui lina maana gani ,nakuja kwenu naomba muongozo wakuu..[emoji3577]
1 Reactions
9 Replies
11K Views
Hello Linguists, Abeg to ask for anyone down here to teach me the basics of nigerian english na'. I wish to learn how they dance with words so fantastically.. Please, tell me what can I do to be...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mimi napata shida na neno University kama ndiyo tafsiri sahihi ya neno Chuo Kikuu, wana kiswahihili naomba mchango wenu ili nijue tafsiri iliyotumika kupata neno chuo kikuu.
1 Reactions
9 Replies
9K Views
HISTORIA NA ASILI YA RUNINGA Televisheni (kifupi: TV) au runinga ni chombo (kifaa) chenye kiwambo (kioo) ambacho kinapokea mawasiliano kutoka kituo cha televisheni na kuyabadilisha kuwa picha na...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, kwanza pongezi kubwa kwa Profesa Gurnah , ushindi wa tuzo ya Nobel kupitia fasihi zake ni wa kupigiwa mfano. Kikubwa cha kujivunia kupitia maandishi yake ni vionjo vya historia ya ukoloni...
4 Reactions
0 Replies
657 Views
Natanguliza shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya. Yaani mpaka nje ya nchi Watanzania na wasiokuwa utawakuta wanasoma na kutoa maoni katika mtandao huu maarufu. Hongereni sana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini? Kuna watu wengi hawafahamu. Itabidi kupitia JamiiForums wapate nafasi ya kujifunza. Wenye majibu sahihi tafadhali tupatieni...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Habarini wajuzi mbali mbali mliopo hapa, kwani inasemekana frequency au series za namba fulani au hyper hidden knowledge ambayo ina uhusiano na nguvu za ndani za kimwili huweza kutengeneza uwezo...
5 Reactions
36 Replies
40K Views
1. Nomadism in Afro is twofold bigger than local tourism. If nomadism in Afro is levied, the amount collected will be colossal than that of local tourism, Douglas Oriko Majwala, 2021. Afro must...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Nianzie kwa salamu, hali zenu kutambua, Maana ninayo hamu, histori simulia, Nimifikia hatamu, masomo kumalizia, Ninachoweza kusema, sasa nimepata kazi. Jina langu Bilalama, Kitumba ndio mzizi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu msemo unatumika sana, lakini binafsi huwa siuelewi yani unamnyonga mtu halafu unampaje haki yake. Naona kama msemo wa kinafiki. Wataalam hebu nisaidieni.
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Nyanja: Mahusiano 1. Nobody made me I will make nobody, Douglas Oriko Majwala, 2021. As you help one you help yourself. Hakuna aliyeniandaa sitamuandaa mtu, Douglas Oriko Majwala...
1 Reactions
0 Replies
618 Views
Nyanja: Utawala Bora/Haki za Binadamu. Imekuwa ni tabia kuwa chaguzi zinapowadia huwa serikali nyingi mahala pengi duniani zinafanya mabadiliko ya baadhi ya sera, mikakati na mipango yake ili...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Nini TOFAuti ya sentensi hizi kimaudhui: 👉....... ATAKUFA PEKEYAKE VS 👉..... ATAKUFA na WENGI TUJIFUNZE MAISHA YA KUNYOSHA MTU KIDOLE YANAPOISHIA (UWEKEZAJI WA KISWAHILI) KWELI MZUNGU...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…