Wakuu, kumekuwa na tabia ya jamii kutumia sentensi "kwa majina naitwa" au "majina yangu ni" kila kunapofanyika utambulisho. Naomba kujuzwa kama hii ni sahihi ama la. Tena hata kwenye vyombo vya...
Wadau ni nini kifanyike kuwaondoa hawa maafisa wa uhamiaji hasa walioko mipakani wanaoongea Kiingereza cha kuvunjika vunjika
Nimesikitishwa sana na nilichokishuhudia leo kutoka kwa afisa wa...
Kuna kitu kinaitwa Ngekewa, kila mara nasikia eti fulani ana Ngekewa. Nimejiuliza maswali mengi sana sipati jibu, Ngekewa ni nini? Hebu nisaidieni Ngekewa ni nini?
Salaam Wakuu, karibu tupate somo la lugha tujikumbushie shule kidogo. Najua wengi wetu kwa namna moja au nyingine katika harakati za kusoma mshawahi kusikia neno kirai na kishazi. Katika kujifunza...
Madalali wengi na watu binafsi kwa Tanzania wanatumia neno Public toilet kwenye choo cha wageni katika (residential house) makazi binafsi.
hii imekaa sawa?
Habarini za mchana wana lugha.
Nimekuwa nikisikiliza mara kadhaa nyimbo za wasanii wa hapa bongo na nyimbo zao zikiwa na maneno tata au majina ya nyimbo zenyewe kuwa na ugumu kung'amua maana, kwa...
Salaam Wakuu,
Katika andiko la leo tutaangalia mbinu za ujumla za kuandika makala. Natambua kuwa zipo aina nyingi za makala na upo uandishi wa aina nyingi lakini uzi huu utajaribu kuangalia mbinu...
Katika kamusi ya tuki, neno "trauma" limetafsiriwa kama 'kiwewe' kwa haraka haraka nikaoanisha na maneno kama 'mauza uza' ama 'mawenge'
Sasa wanajamvi naomba mnisaidie kutafsiri maneno hayo kwa...
Salaam Wakuu, tunaendelea na somo letu la aina za maneno. Katika andiko hili tutachimba kiasi katika maana na aina za Viunganishi. Twende pamoja hapo hapa chini:
VIUNGANISHI
Viunganishi ni...
Wakuu salaam, tunaendelea na mada kuu ya aina za maneno katika lugha. Katika uzi huu tutafafanua dhana ya Vielezi na aina zake. Twende pamoja:
VIELEZI
Vielezi ni maneno yanayotumika kufafanua...
Salaam Wakuu, tuendelee na somo letu pana la aina za maneno. Katika andiko hili tutasonga zaidi kwa kutazama kiundani Viwakilishi na aina zake. Twende pamoja.
VIWAKILISHI
Viwakilishi ni maneno...
Salaam ndugu zangu, tuvitazame vivumishi kwa mapana yake. Katika andiko hili tutafafanua dhana ya vivumishi, aina zake pamoja na kutoa mifano mbalimbali. Twende pamoja;
VIVUMISHI
Kivumishi ni...
Salaam Wakuu,
Leo turudi shule kidogo tujikumbushe aina mbalimbali za maneno katika lugha. Mada hii itaeleza kwa ufupi aina mbalimbali za meneno zilizopo halafu mada zijazo ntagusia aina moja...
Subalkheir ndugu zangu,
Baada ya andiko lililopita kufafanua aina mbalimbali za maneno (Soma hapa: Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili) nikaona si vyema kuwaacha hewani. Kama nilivyoahidi...