Nimekuwa nikifuatilia uandishi wa Waandishi mbalimbali wa Habari na watumiaji wa mitandao hii ya kijamii. Kumekuwa na uandishi mbovu wa lugha ya kiswahili lakini Baraza lipo kimya bila kukemea...
Nimekuwa nikizunguka sehemu tofauti tofauti.
Nikaja kugundua kitu kibaya mno hivi sisi Watanzania au watu weusi ni specimen au tupo laboratory tunafanyiwa uchunguzi maana our id, imekuwa ikifanya...
1.Japo wengine walalama,Huku wengine wasifu,
Serikali imesimama,Japo si takatifu,
Maendeleo kuleta,Sio kazi ya kubeza,
Serikali ya wanyonge,Wanyonge waneemeka?!
2.Madudedude twaona,Twasema...
Ubeti wa kwanza:
Ni corona inapita, hata ukunje zo ndita,
Hakuna alo-iita, labda ni wewe pita,
Na uchumi wazorota, wapi pesa nitapata.
Nilichobakiwa nacho, barakoa mdomoni.
Ubeti wa pili...
Hodi humu.
Juzi nilikuwa kwenye dala dala, na ilikuwa imejaa sana. Bahati mbaya mkaka mmoja alimkanyaga mdada kwa bahati mbaya. Yule mdada akaja juu kweli, lakini yule mkaka akajishusha akaseme na...
Kuna wadada wakawaida..ila utawatamani.
Ukiwatazama unashiba..unajiona wathamani.
Ni nzuri yao haiba..hawataki tafrani.
Maneno yao ni tiba..yanatupa ahueni.
Mapenzi yakuiba..hawayataki asilani...
Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza hapo juu, ninahitaji kujua matumizi hasa ya -to- na -ta- . Je ni sahihi kutumia maneno mfano "Kama hutojali" badala ya "Kama hutajali" au "Sitosahau" badala ya...
Tangu ujio wa corona au covid 19, kumekuwa na matumizi ya neno osha mikono.
Mimi navyojua kuosha inahusisha vyombo na viungo nusu vya binadamu tunatumia Nawa. Ikiwa ni mwili mzima tunatumia neno...
Hi kwa wana jamvi wa JF, matumaini yangu muwazima wa afya .Straight to the point ninataka kuandika novel, sasa ninaomba mtu yoyote mwenye basics za novels anijuze.
GLU™.
Hii Ni tahadhali Kama ilivyotolewa na uongozi wa JF;
"Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani...
Nipo kwenye Kisima cha Maji
Nina madumu mawili, moja lina ujazo wa lita 5 na lingine lina ujazo wa lita 3
Nitawezaje kujaza moja wapo kwa lita 4 kamili?
Gari...gari...gari...gari..!! Una nini wewe?
Gari hata kama chakavu,heshima hukupatia,
Haijalishi uwe mkubwa hata mdogo pia,
Dunia yote inatambua,matajiri na masikini pia,
Afrika bara langu,hivi...
Ndugu zangu nisaidieni namna ya kukipata kitabu cha spoken English. Kina jalada la jeupe na weusi, picha ya mtu, kurasa hazivuki 200.
Nakihitaji kuna dogo langu anaingia form one. Pre-form one...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.