Wakuu nawasalimu wote
Habari za Asubuhi.
Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka naomba mniambie maana ya neno "LIMBUKENI"
Maana nimekua nikijiuliza tafsiri ya hili neno na sijaweza kupata maana ya...
Naomba kufahamishwa tafsiri ya hayo maneno kwenye sentesi, kwa mfano nataka kufungua kimgahawa lakini mbele yajina la mgahawa nataka niweke moja kati ya hayo maneno kama kibwagizo.
Nitumie lipi...
Suala hili limeshajadiliwa mno na wadau mbalimbali, hivyo, mimi ninapendekeza sauti hizi zipitishwe rasmi kuwa kitu kimoja. Yani, watumiaji wachague kile wanachoona kinawafaa.
Utafiti wangu...
Wakuu,
Nisaidieni tofauti ya maneno hayo hapo juu
Mfano;
Wanajeshi walivuma makombora Wanajeshi walivurumisha makombora
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni muda mrefu nimekua nikiona makosa ya uandishi kwenye blog km Muugwana na Jamiiforum watu wakishindwa kuandika neno kuahirisha na kuandika kuhairisha.
Cha ajabu leo vyombo vikubwa vya habari...
Nabendaga sana methali hizi, pale jambo mtu anapolificha wakati akijua ni lazima litatoa outcome mbeleni.
Kwa mfano mtu akificha ujauzito/ mimba muda ukisonga itajulikana tu anamimba.
Ni hayo...
#UNAAMBIWA Kwenye kamusi ya Kiswahili kuna neno “korona” ambalo tafsiri yake ni kinu cha kukoboa, kusafisha na kutoa kamba za mkonge. [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tidak dapat dipungkiri bahwa kebanyakan apartemen memiliki luas yang terbatas. Ini sesuai dengan tujuan pembangunan yang memang menjadikan hunian sebagai solusi masalah lahan yang semakin sempit...
Wakuu hamjambo, msaada wenu kwa hili swali
Naomba msaada wenu juu ya swali hili, kama mjuavyo kingereza ni nyama ya tembo, hivyo kwa Mimi peke yangu nimeshindwa kupata muafaka wa lipi ni jibu...
Tumemsikia mzee Mwinyi akisemanana mhusudu JPM.
Mimi nikifikiri kuhusudu ni kupenda kunako ambatana na matamanio.
Bungeni tunasikia maombi ya kutuepusha na husda.
Hapa ni kama kummind mtu kwa nia...
Rubani mmoja alipata ajali ya ndege ndogo na kuangukia kwenye kijiji asichokielewa. Alipoteza fahamu kwa dakika kadhaa, alipozinduka hakujua alizimia muda gani na wakati ule yalikuwa majira gani...
Kiswahili ni lugha inayozungumzwa na mamilioni ya watu katika Afrika na kote duniani. Ingawa Kiswahili kimeonekana kupanda chati na kuonekana kuzidi kushika kasi leo, lakini lugha hii ilshapata...
Nzi kala Tunda kwa Masihara kwa muda wa saa mbili. Bado niko hapa nasubiri nigundue kitu natupia na picha/video za kutosha.
Nzi dume hawezi mpata jike mpaka atongoze, nzi dume huwa anatoa...
Nimekuja Muscat Oman and i wonder jinsi Kiswahili kilivyo enea hapa Oman. People speak Swahili like they don't mean nothing.
Interestingly Kuna waoman wamezaliwa Oman.wamekulia Oman na hawajawahi...
Nilikuwa nasikiliza BBC SWAHILI leo ninamsikia Mtangazaji Ann Ngugi anatumia hilo neno, cha ajabu hata Wenzake, akiwemo Mbelechi wa Congo wametumia jina/neno 'wenye ulemavu wa ngozi' au Albino...
MACHINGA ni msemo wa kiswahili unaowakilisha wafanya biashara wadogo wadogo ambao hufanya biashara kwa kuweka bidhaa zao kandokando ya barabara au hata sokoni.
neno MACHINGA limechukuliwa kutoka...
Haya ni maneno matatu ambayo hufanya kazi moja. Kazi kuu ya maneno haya ni kuongeza maelezo ya ziada katika jambo. Hutoa taarifa ya ziada au kukazia taarifa ya awali.
Katika jamii kuna mazoea ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.