Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Sikuelewa TBC walichomaanisha hapa, mnisaidie.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Pesa ina majina mengi sana ya Mtaani wewe Unatumia Lipi, Mi natumia (FUBA). Mfano: "Yule mwana Ana FUBA za kutosha" Cc Zero iq Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Before the lazy man turns over heavily the farmer has reached the farm Tafsiri kwenda kiswahili
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inadaiwa kuwa lugha ya Kiswahili haiko 'romantic'. Je, ni kweli? Lets share.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Tofautisha misamiati ifuatayo: I. Subira na uvumilivu II. Shaka na mashaka III. Jeuri na kiburi IV. Shida na tabu V. Hekima na busara
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tumia Kiswahili kuonesha utata wa Lugha. - Ni kwa vipi Lugha imekuwa gumzo kutokana na baadhi ya maneno kuingiliana, kufanana au kukosekana. - Au ni vipi watumiaji wa lugha walivyo kuwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati fulani hapa JF watu husema kusoma si kuelimika, hivi tofauti ya Elimu na usomi ni nini. Unawezaje kutofautisha msomi ambaye hajaelimika na mtu aliyeelimika lakini ambaye si msomi?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mara nyingi nisomapo makala ndefu za Kiswahili sikosi kukutana na angalau neno moja la Kiswahili linaloonekana kuwa jipya kwangu. At the same time, the same article may contain a few familiar...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna Mtu Tunabishana, Nae Hapa!. Kuhusu Kirefu Cha Neno "SMS" Je, Wewe Unafahamu Kirefu Chake Tumalize Ubishi...!
0 Reactions
13 Replies
25K Views
Utasikia naomba radhi, Mara amekosa radhi ya wazazi wake, Mara nitake radhi, mara nitakuachia radhi. Nilichokuwa najua mimi radhi ni msamaha lakini hizo sentensi kadhaa hapo juu zimeshanivuruga...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Wabongo wengi tumezoea kumuita Nairobi Fly, mara ya kwanza kujua kuna mdudu kama huyu ilikuwa mwaka 2005 nikiwa A level. Niliposikia wanamuita Nairobi Fly nikajua kuwa ni wadudu wenye asili ya...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
TABIA YA MUUNGWANA Kuno kunena kunena, leo nalinena hili Nalinena kwa mapana, kwa lugha ya kiswahili Tabiaze muungwana, si mtu wa ndimi mbili Kutosheka na akali, tabia ya muungwana. Nawala hawi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tafsiri ya wimbo "Neria" wa Oliver Mtukudzi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waungwana naombeni maana ya neno kutoa radhi. Nini maana yake na nani anatoa radhi na kwa nani? mara nyingi uwa nasikia utapata radhi wewe shauri yako
0 Reactions
7 Replies
16K Views
1. Mwanaume huyu ameolewa. 2. Mwanaume huyu ameoa. Ahsante. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Scenario ina Maana gani.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
571 Views
Kumekuwa na changamoto kwenye lugha ya Kiganda, tafadhali anayejua maneno mepesi yatakayomsaidia Mfanyabiashara kubargain biashara kwa lugha hii anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada tafadhali wanabodi kama mjuavyo hiki kizungu kilikuja na meli, sie zetu mashua.
3 Reactions
83 Replies
18K Views
Naomba msaada wa hiyo kauli nimeambiwa na rafiki yangu Leo " Gharama za kuelimika ni ndogo sana kuliko gharama za kuhifadhi ujinga kichwani." Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza kabisa napenda nianze kwa kukiri kuwa Kiswahili bado ni lugha inayonipiga chenga pahala pengi. Hivyo kuna pahala pengi katika hoja yangu nitachanganya na lugha ya Kiingereza, pamoja na...
4 Reactions
94 Replies
27K Views
Back
Top Bottom