NA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Kiswahili ni lugha inayozungumzwa katika kanda ya Afrika Mashariki kuanzia Somalia hadi Msumbiji na ni lugha ya mawasiliano kwa sehemu kubwa ya kanda hiyo. Tanzania ndiyo...
BARIDI YA MOROGORO HAINA ADABU
1. Ya moyoni ninayo, mengi kujaza kapu
Yaani tena yahusuyo, baridi iumizayo pafu
Baridi adabu hamnayo, nawapa yake makavu
Baridi ya Morogoro, kweli...
Hello members, nataka kufanya mtihani wa Kiingereza IELTS kabla mwaka huu, naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu na hii mitihani.
Vilevile nitafurahi nikipata members ambao wamewahi fanya hii...
Pale JNIA Terminal 2 niliona tangazo lenye sura ya waziri wetu wa utalii.
Tangazo hili lina slides 2, ya Kiswahili na ya Kiingereza.
Ya Kiswahili imeandikwa “Simba ni Utalii”, ya Kiingereza...
Habari zenu wadau.
Nilikuwa naomba msaada wa uhakiki wa maneno yaliyotumika katika kutayarisha Shahada hii.
Shahada hii ni Hati ya Shukrani kwa ajili ya kuthamini mchango wa wanajumuiya wetu...
Jamani wakati tunakua tulikuwa tuna ganilwa nahau na methali mbalimbali za kisukuma na
bibi na babu zetu, hata sisi wenyewe wakati tunachunga tulikuwa na mchezo wa kugani methali na mwingine...
Halo JF,
Kumekuwa na matumizi mabaya ya neno "Angalau" kunakopigiwa upatu na radio za kimataifa za BBC, DW, VOA nk.
Wenyewe wamehamisha moja kwa moja kutoka lugha ya Kiingereza "Atleast"...
Ni moja ya mada zinazochanganya sana. Baadhi ya sifa za virai ni kwamba hazina muundo wa kiima na kiarifu. Ndani ya kirai kunaweza kuwa na kirai kingine ndani yake. Mfano "watoto wanacheza kwenye...
Leo nakamata ungo,tuone mtarukaje
So kwamba ninamsongo,hii ni toroka uje
Umetimia mpango,pona yenu bora mje
Nimejipanga kuloga,muiteni baba yenu.
Mlinirusha kilinge,enzi za mababu wenu
Nasema na...
Wakuu mwenye kujua dagaa kwa kizungu wanaitwaje anisaidie.
MICHANGO YA WADAU:
Anchovies.
Description
An anchovy is a small, common forage fish of the family Engraulidae. Most species are...
Hili neno kwa sasa lipo viral sana kwa watangazaji wa Tanzania, sijajua ni ulimbukeni au ni katika kujionyesha wamesoma na sio makanjanja.
Out of context utasikia hilo neno limechomekwa, huwa...
Mara nyingi nimekuwa natumia Google Translate kupata maana halisi ya maneno ya Kiingereza kwa Kiswahili wanajitahidi kidogo kwa neno moja moja.
Lakini tatizo lao kubwa sentensi ikiwa ndefu...
Msimu ni maneno yasiyo sanifu yanayoanzishwa na kikundi cha watu wachache wenye utamaduni mmoja ili kueleza mahusiano yao kama kikundi. Kwa kawaida maneno hayo huzuka na kupotea, ila yale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.