Kikwetu tunasema 'kwitongo' na 'pamwambo' hiyo ni Mbeya mixer Nyaluland.
Haya kikwenu ng'ambo kwa Kilugha chenu mnaitaje? Waliozaliwa mijini na hamjataka kujifunza lugha ya mama mtakuwa fans...
Watanzania ni watu watafutaji sana duniani, kila nchi wapo, ila kwa kutojua English vema tunatumia nguvu nyingi sana ili kufanikiwa katika mambo mbalimbali.
Mwaka juzi nilikuwa Latini Amerika...
Kiswahili ni lugha tamu sana, ila pale mtu anapoanza kuiharibu inatia hasira sana. Kwa mfano, pale watu wanaposema maneno yafuatayo:
"Abali yako we kaka"
"Wewe hujui dhamani ya moyo wangu ndo...
Hello,
Wakuu, nataka wauliza eti maana ya neno tajwa hapo juu ni nini?
Mfano, ukisikia mtu anasema; Mtu 'A' ana gubu.
Je, ina imply what characteristic?
Kuna member wa JF anatumia jina la Naisha Nasri alipositi thread ya kiingereza kama ifuatavyo;
"I love Jf because of it's educative contributions "in kiswahili"from its members but when the...
Asalam Alaykum (Amani iwe nanyi)
Yafuatayo ni baadhi ya maneno ya Kiswahili ambayo huwa hayatumiki sana na kupelekea kutokujulikana na watu wengi katika jamii zetu hivyo kupunguza kama sio kuua...
TANGA KWETU
Ni ukweli usiopingika kuwa wazungumzaji wazuri wa lugha ya kiswahili ni watu wa pwani, jambo hili limechangiwa na sababu kadha wa kadha lakini kubwa ni sababu za kihistoria na...
Wakuu kwema
Naomba mnisaidie kuchanganua tofauti za maneno haya tafadhali
1. Thamani na dhamani
2. Thibitisha na dhibitisha
Natanguliza shukrani
Cc: FaizaFoxy
Kwenu Waungwana, Wakongo na wasio Wakongo lakini wanaoelewa Kiswahili cha Kongo ambacho ndani yake lazima ukumbane na "Mafranshyee" na Lingala. Hapa chini nina 2 minutes audio. Nime-rewind mara...
wataalamu wa lugha naomba tafsiri ya hayo maneno kwa lugha ya kingereza.
mengine ni kama
1• huisha (anaweza kui huisha nafsi yako)
2• kimbembe
3• sakata (sakata la pesa za ujenzi...)...
Habari?
Hongera CAG mstaafu kwa kustaafu kwa heshima na karibu CAG mpya.
__
Moja kwa moja niende kwenye mada.
Ninaamini wadau waliomo humu wamepata elimu angalau ya darasa la saba, kama wapo wa...
Hakuna ambaye anajua kutamka neno hili kwa usahihi. Wahudumu wa ndege kwa Kiingereza wanaitwaje?
Chagua jibu sahihi
A. Air hostage
B. Hair Hostess
Jibu ni kati ya hayo mawili hapo juu.
I can neither confirm nor deny that any intelligence was shared to facilitate last night's operation.
Kwa kweli
When a diplomat says yes, he means perhaps; when he says perhaps, he means no...
Hakuna ambaye anajua kutamka neno hili kwa usahihi. Wahudumu wa ndege kwa Kiingereza wanaitwaje?
Chagua jibu sahihi
A. Air hostage
B. Hair Hostess
Jibu ni kati ya hayo mawili hapo...
Naomba kujua matumizi yake,
Kwa mfano mtu anataka umpishe utasikia sorry naomba kupita. Mwingine atasema excuse me. Usahihi wake upo wapi?
Nisaidieni,
we are still learning!
MAONI YA MDAU...
Wanajanvi, nawasalimu kwa jina lake yeye aliyetupa uhai
Wajuvi wa hii lugha iliyoletwa na ndege na meli. Naomba kujua matumizi ya haya maneno:
1. Shall
2. Will
3. Could
4. Would
Ni sehemu gani...
Nadharia ya Kiswahili
Kiswahili ni lugha ya Kibantu inayotumiwa na watu katika mawasiliano hasa Afrika Mashariki na ya Kati. Lugha ni sauti za nasibu zenye mpangilio maalumu zilizokubaliwa na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.