Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nielewesheni tafadhali Cc mk4life
1 Reactions
5 Replies
13K Views
SHAABAN ROBERT, MSWAHILI ALIEMUDU KIINGEREZA. Watu wengi hudhani kwamba kuwa mfuasi wa kiswahili ni ishara ya kwamba hufahamu lugha ya kingereza,na wengine huamini kwamba kupigania kiswahili ni...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
I was wondering if there were sites (like Fictionpress.net for example) where i can find stories, but in swahili. Do you know any? I'm looking for a good swahili novel/story to read, but i haven't...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Nimekutana na huu msemo kwenye jamii fulani, 'cheka na watu uweze kuvaa viatu'.nimeutafakari sana na mpaka sasa sijajua maana yake wakuu.Nisaidieni una maana gani?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ikawa tunaita Yanga, mpaka leo hii ni Yanga tu, hivi kwa nini hawakubadilisha jina na kuleta lingine lenye maana? Mbona Simba walibadilisha kutoka Sandalendi (Sunderland)?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Akizaa watoto wengi huwavika ngozi ya aina moja
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Asiyekuumba hawezi kukuumbua.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani waungwana naomba msaada wa kujua ili neno itakatishaji,maana hivi karibuni nasikia neno utakatishaji, Je nifedha feki au?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau hasa mlioko dar naomba tujikumbushie kidogo kuongea kilugha, inasemekana nyie wakurya mliokimbilia na kulowea pwani ya dar es salaam siku hizi hamjui kuongea lugha zenu za aslili na wengine...
0 Reactions
88 Replies
12K Views
Kadri siku zinavyoenda lugha yetu adimu ya kiswahili inazidi kuchimbiwa kaburi. Leo vijana wetu hawawezi kuongea kiswahili fasaha kwa dakika 5 mfululizo, lazima aweke na neno au maneno ya...
5 Reactions
41 Replies
6K Views
1.Drone 2.Paramilitary 3.Paramedic 4.Hypermarket 5.Spoke(of bicycle wheel) Ahsante
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wadau, nini maana ya kisirani? Je mtu mwenye kisirani utamtambuaje?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
NUKUU ISHIRINI NA TANO ZA SHAABAN ROBERT KUTOKA KATIKA RIWAYA YA KUSADIKIKA. 1. "Kipawa chochote cha mtu kama hakikuongozwa vyema huweza kuwa hatari au maangamizi kwa wengine". 2. " Mchwa...
3 Reactions
10 Replies
10K Views
I am an advanced level English language teacher, I don't have a syllabus; any one with it please may you upload it!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wajameni, nimemsikiliza Mh Rais ila pale aliposema maneno kupigwa tunch nimeshindwa kumuelewa. Nisaidiane..
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Leo nikiwa napitia jumbe mbalimbali zinazotumwa ktk mitandao ya kijamii, nimekutana na ujumbe mfupi uliotumwa ili kumfurahisha msomaji lkn ulikuwa hakika ni wenye kutafakarisha. Ujumbe wenyewe...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu nikakutana na haya maneno ya kiingereza ila yamenitoa K.O nikaona hadi kizunguzungu hatari!! anaejua kiswahili fasaha cha haya maneno anisaidie: Ecstatically Flabbergasted...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wengi hasa vijana wa enzi zetu zike za Ben Mtobwa na wengine,tulikuwa tukiwafuatilia sana hawa jamaa wawili Joram na Willy,ukweli ni kwamba wazee tulifaidi mengi sana,siyo kama vijana wa sasa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
kama title inavyosema apo juu wakuu nimekua nikilisikia hili neno ila sijapata maana yake kamil neno "karma" wakuu kwa anaye jua maana yake na isitoshe kuna watu wana litumia sana humu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom