Nimeipata sehemu. Naombeni tueleweshane kuhusu hili. Kuna mtaalamu alitusahihisha karibuni, nilikuwa nikimhoji mwanahabari wa BBC Sammy Awami. Jamaa akatusahihisha tuliposema Uzamili ni Masters...
Jinsi ya kutamka baadhi ya maneno ya Kiingereza kwa lafudhi ya Nigeria:
Google - Gugu
Husband - Ozzband
Arsenal - Ass Na
Paper - Pay Pa
Concern - Con Son
XBOX 360 - Eggs Bugs Tree Sisty...
Nina miaka 27. Ninakipenda Kiswahili kwa maana ni lugha mama ya taifa langu ukiacha kabila langu la Kizinza. Natamani kufahamu lugha ya Kiingereza kwa kuongea na kuandika vizuri sana. Tafadhali...
Tafadhali nisaidieni naandika andiko la kiswahili lenye maneno ya kisaikolojia natafuta maneno ya kiswahili yanayoweza kuwasilisha maneno haya "Conscious mind" na "Subconscious mind" tafadhali...
MAMBO MATANO MUHIMU TOKA KWA MLOKA KWENDA KWA WASHAIRI CHIPUKIZI.
Amani ya mwenyezi Mungu ziwe nanyi nyote,baraka zake ziwafikie na Mola awaepushe na kila la shari lisitufike.
Charles Mloka...
Kwenu wataalam wa lugha, huwa najikuta natumia au kusikia neno mbovu likitumia kwa nyakati tofauti moja likimaanisha mbovu( kwa mfano Taswira ilikuwa mbovu),Pili; na mara nyingine utasikia kwa...
MSHAIRI ALIEWAHI KUONGOZA MATOKEO YA KITAIFA YA SEKONDARI NA KUKAMATA NAFASI YA KWANZA KIMKOA NA KITAIFA.
Siku moja nakumbuka mtu mmoja aliwahi nifata na kuniuliza "nifanye nini ili nami niwe...
Shikamoo wakuu. ningetaka kuwauliza kuwa "wamekuwa kuona sisi" ni sawa au la? lakini kwa kawaida tuseme "wamekuwa kutuona".
zaidi ya hayo, "yako majirani karibu zaidi" ni sawa au siyo sawa...
Kuna msemo mmoja ambao watu wameuzoea sana utasikia jamaa anamguu mkubwa kama nini au anapiga kelele kama nini au mshkaji anaongea kama nini, anakula kama nini
Sasa naomba wakuu kujua hilo neno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.