Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari wana JF. Kama kuna mtu yeyote anayeandika hadithi kwa lugha kwa kiingereza ningependa kuzitafsiri hadithi zake kwa lugha ya Kijerumani. Nitatoa kipaumbele kwa hadithi ambazo tayari ziko...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Nimekuja naomba mnisaidie maana ya msemo ufuatao: Kuna sehemu nilikuwa nikipita mama mmoja alikuwa anapenda kuniimbia wimbo huu Nguruwe pita sina mkuki mie wewe haramu kwangu...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
1. Head of Department - Mudiri wa Idara "ya" 2. Dean of School - Amidi wa Shule kuu 3. Dean of Faculty - Mtiva wa Kitivo "cha" 4. Collage - Ndaki 5. Principle - Rasi 6. Principle of Campus...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu, IDD Mubarak! Nini maana ya methali 'Mkaidi hafaidi mpaka Siku ya Idd'? Ahsante.
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Kutokana na sakata la kuibiwa machine ya Ultrasoud, vyombo vingi vya habari vimekua vikielezea kuhusu tukio hili. Wengi wamekua na matamshi tofauti, sasa je tunatamka Yutrasaund au Altrasound...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari ndugu....naomba wataalamu wa lugha ya malkia mnisaidie tafsiri ya hii reply niliyokutana nayo katika pitapita zangu hapa JF,ilikua mwaka 2008
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. ARBITRARY: based on individual discretion or judgement, NOT based on OBJECTIVE distinction, perhaps even made at RANDOM. 2. AMBIGUITY: something, particularly words and sentences open to more...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna mengi katika historia ya ushairi na maisha ya washairi ndani ya Tanzania ambayo kwa kiasi kikubwa imekuwa haijukani na wengi wala kuhuifadhiwa katika kumbukumbu nzuri za kihistoria kwa sababu...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Mafumbo ni aina ya tungo fupi ambazo huwa na maelezo yanayoishia kwa swali; kisha anayejibu huhitajika kufikiria ili kutambua jibu. Kinyume na vitendawili, majibu ya mafumbo huwa na maelezo...
1 Reactions
2 Replies
23K Views
Kitendawili hiki ni maalumu kwa wale Magreatest Thinkers wanaopendelea na wenye uzoefu wa kula matunda. Ila kama wewe suala la kula matunda mpaka uandikiwe na daktari huwezi kujibu iki kitendawili...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima. Leo ni siku nyingine tena tumekutana kupeana mawili matatu katika lugha ya kiingereza. Siku ya leo tutajifunza jinsi ya kutumia SHOULD, COULD na WOULD...
3 Reactions
13 Replies
8K Views
Karibu moja kwa moja darasani Simple Future Tense (‘ta’) - Wakati huu huongelea jambo litakalofanyika na kukamilika mara moja wakati ujao. Mifano; tutakuja, watatembea, atacheza. - Wakati huu...
2 Reactions
22 Replies
8K Views
Unapoanza kujifunza kiingereza unatakiwa ujue baadhi ya kanuni muhimu ya lugha hii . Kanuni hizo utazijua baada ya kujifunza grammar . Grammar itakusaidia kutunga sentensi zako kwa usahihi na pia...
6 Reactions
22 Replies
8K Views
Umeelewaje msemo huu ? ''Masikini hajui namna ya kula na tajiri,masikini anapopewa samaki anaanza kula kichwani''
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salamu nawasalimu, Amani nawatakia, Niishikapo kalamu, swali nawaulizia, Si fumbo la kitalaamu, ni hoja nawapangia, Umevunjika chunguni, mwiko wangu, mwiko wangu! Kupika ninavyopika, nikipika...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
MPISHI ASO BAHATI. Babu nakusalimia,nadhani umeitika Swali limenifikia,lazima litajibika Wengi wamelikimbia,na mimi sitoliruka Sababu ulinambia,kwa hilo sitosifika Mwiko nimefikiria,kwanini...
0 Reactions
3 Replies
689 Views
Ni ajeee wana wa humu Ndichi hopefully mambo ni full yeng'eng'e...Basi bhana Jana Night baada ya kutoka kwenye Mbanga zangu za kusakanya Moneygram mjuba nikaona bora nipitie Shola(Shop)Nijipoze...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwema wana JamiiForums?!!! Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habar wadau,nahitaji nijue hio lugha kwani napenda sana nianze salamu asubuhi mchana jioni kwa wanaume au wanawake nianze hapo.
1 Reactions
17 Replies
16K Views
Back
Top Bottom